Haya makundi ya Bongo Fleva yalitupa raha sana sisi Wahenga

Haya makundi ya Bongo Fleva yalitupa raha sana sisi Wahenga

"mshikaji demu wako ananitaka,
Mshikaji demu wako ananitaka,
Kila nikipita mimi ananiita
Kila nikipita mimi ananifata"

Daa hawa washkaji nilikuwa nawaelewa sana..sema nimewasahau majina.
 
Uzi umekimbia balaa.
Banana Zoro kuna kundi lao kipindi cha nyuma kama sijakosea ni B Love M,alafu kuna wale wakina dada watatu wa mzee Ahmed Kipoz Unique Sisters.
 
Kwa umri wangu nikikumbuka bongo flava nawakumbuka GangweMobb na wimbo wao wa mtu be
Pia kuna Wateule na wimbo Hip Hip na ragga.

Ila gangwe nawaheshimu saana sana.
 
Uzi umekimbia balaa.
Banana Zoro kuna kundi lao kipindi cha nyuma kama sijakosea ni B Love M,alafu kuna wale wakina dada watatu wa mzee Ahmed Kipoz Unique Sisters.
Unaikumbuka album ya kwanza ya B love M iliyokuwa ikijulikana kama Sayari ya mapenzi kukiwa na nyimbo kama sayari ya mapenzi na Anakudanganya?
 
Kwa umri wangu nikikumbuka bongo flava nawakumbuka GangweMobb na wimbo wao wa mtu be
Pia kuna Wateule na wimbo Hip Hip na ragga.

Ila gangwe nawaheshimu saana sana.
Username yako imenikimbisha wimbo wa SUKAH "Mipasuo"
 
Mimi nina upara
pamba za zakiem mbagala
Nipo na mamaa wote tunang'aa
Anadai mkononi na chupa ya chang'aa
Aliyekuja na ngedere amtoe out
Kwani humu ndani anazua varangati
@missyrose
Mimi nimeupara,
Pamba za KTM Mbagala,
Nipo na mamaa wote tunang'aa,
Hummer guy mkononi na chupa ya chang'aa,
Aliyekuja na ngedere amtoe out, kwani humu ndani anazua valangati...Yeeh yeeh, bush party, mambo shega

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Nimekumbuka bifu ya gangwe mob na mabaga fresh.

“Mabaga fresh tupo kamili mtu mbili kama milioni mbili”
'Haina kontrola, ngoma inaposonga haihofii nguvu ya dola'
Hapo mabaga wanajiita 'chombo cha dola'
 
Ila aliyeleta au aliyefanya watu waanze kuingia kwenye rap ni saleh jabri
Sema yeye alikuwa ana copy,ila anatakiwa apewe heshima yKe

Ova
Saleh Jabri verses

Kitu kimenikaa moyoni/sasa naamua kukitoa mdomoni/ the real scorpion/ I dont know/kusema mengi naona choo/, ..sijui nini../nataka mic ya umeme niko kwenye stage nayakata madebe dansi/ ngoma hii ya ajabu imewafanya watu wawe kama deadly/inapodunda redioni tega sikio sikiliza kwa makini/kama hunipendi njoo kacheze na mimi ninadunda kama kid & play...

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom