Wauzaji wa containers
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 615
- 1,443
Katika MAISHA ikiwa umetokea familia masikini unaweza kuwa na haya mawazo au fikra hizi.
Pesa au mali za urithi zinaweza kukufanya na wewe kuwa na mali.
Ni rahisi Sana kuzaliwa ukiwa mtoto wa kishua Ila kuwafanya watoto wako na wajukuu zako kuwa wakishua. Inakuhitaji Kuwa na maono katika kuzalisha Pesa na Mali.
Ukiwa masikini unakuwa Una amini msaada ni pesa tu na sio ideas, kumbe ni kinyume ukipata pesa bila ideas lazima uishiwe pesa.
Stress za maisha - ukiwa masikini unakuwa unaamini matajiri hawana stress na msongo wa mawazo jibu sio kweli .
Ukiwa na PESA Ila hauna kitu chochote Kama potential , value n.k bado unaitwa Masikini.
Mimi nimepata bahati ya kukulia familia bora , na pia nimepitia na MAISHA ya umasikini
Niseme tu tajiri anapambana ili kuokoa na masikini anapambana ili kujiokoa. Hivyo ikiwa wewe ni masikini jitahidi upambane ili kuokoa WATU utaanza kupata mwanga katika Maisha.