Haya mambo ya kipumbavu mmeyalea wenyewe, mnacholalamika ni nini?

Naona leo mmeamka kwa ajili yetu..
Asubuhi yote hii kweli?
 
Mtoa mada hatetei ujinga! Isipokuwa anataka mashabiki tuwe na umoja linapokuja jambo linalo haribu taswira ya mpira wetu.
Sio kweli. Mleta mada ameandika kama vile Yanga ndio mara ya Kwanza kubebwa. Kama ni umoja basi ilitakiwa uanze sasa, yaani ukemee maamuzi mabovu yalikufaidisha la sivyo ni unafiki na wengine watafanya hivyo hivyo Kwa timu zao
 
Naona leo mmeamka kwa ajili yetu..
Asubuhi yote hii kweli?
 
Sio kweli. Mleta mada ameandika kama vile Yanga ndio mara ya Kwanza kubebwa. Kama ni umoja basi ilitakiwa uanze sasa, yaani ukemee maamuzi mabovu yalikufaidisha la sivyo ni unafiki na wengine watafanya hivyo hivyo Kwa timu zao
Mbona karibia mashabiki wote wa Yanga wamekiri hiyo penati ilistahili kuwa adhabu ndogo!

Ila nyinyi sasa ndiyo mnakaza shingo na kusema refa amehongwa, na huku mkitambua fika waamuzi wengi wa ligi yetu ni kichomi!
 
Naona leo mmeamka kwa ajili yetu..
Asubuhi yote hii kweli?
Usiku wa deni hauchelewi, huwa mnafuatilia yasiyowahusu, Sasa sisi tunawaambia Mtibwa wao walete timu tu uwanjani mashabiki na posho za wachezaji wao hilo ni jukumu letu Yanga.

Mwaka huu tunataka kuwafundisha fitina ikoje maana mnatuzoea sana.

Wana Yanga kama tulivyokubaliana leo jumapili outing yetu ni kwa Mkapa kupiga kwenye mshono.
 
Mbona karibia mashabiki wote wa Yanga wamekiri hiyo penati ilistahili kuwa adhabu ndogo!

Ila nyinyi sasa ndiyo mnakaza shingo na kusema refa amehongwa, na huku mkitambua fika waamuzi wengi wa ligi yetu ni kichomi!
TFF wamefeli Sana kwa suala la waamuzi maana haya matukio hata baina ya timu ndogo huwa yanatokea. Waamuzi wapimwe IQ, umakini wa mtu unaendana na IQ.
 
Karibuni Tanzania Club african
 
Ndio maana enzi zetu wahenga tulikuwa hatutaki ujinga huu, refa akifanya yake mwisho wa mechi tunamkung'uka anarudi kwa mkewe na manundu akakandwe maji moto, kesho harudii labda Kama hajipendi na hukumu inaishia hapohapo
 
Sasa kwanni bumbuli na manara walipopaza sauti walifungiwa ma tief efu kuhusina na hawa marefa
 
Umeandika kama mtu ambaye mwiko umegoma kuchomoka nyuma.
 
Mimi si shabiki wa Yanga lakini nakuunga mkono Jambo moja, mashabiki na Wachambuzi wa Soka wengi wana mapenzi dundo Kwa timu na siyo Kwa soka. Kwa ujumla wengi ni WASHANGILIAJI na siyo MASHABIKI. Yuko tayari kushangilia lolote hata la haramu. Nataka niongelee Mechi ya Jana Kwanza; wengi wanaongelea tukio la Penati Kwa vile liliifaidisha timu adui yao, lakini hata wachambuzi sijasikia hata mmoja akiongelea kitendo cha Kagoma kumrukia Kibwana kwenye paja na kuhatarisha Afya yake, faulu ambayo ilistahili red card na refa aliiona maana aliwapa Yanga advantage ya mpira wa kutengwa lakini Kagoma aliyejifanya kulala chini Kwa Muda hata hakuonywa achilia mbali hata Kadi ya njano.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…