Haya mambo ya kipumbavu mmeyalea wenyewe, mnacholalamika ni nini?

Ata goli la Mkude dhidi ya Prison Simba ilitoa Bahasha Kwaiyo Kila mmoja ajivunie Bahasha zake.
Unawaonaje Simba kimataifa?Maana kipimo kipo huko.Mna point ngapi na Simba ana point ngapi?
Maana inaonesha michezo yenu ndiyo hiyo miaka yote ndio maana kimataifa mko "hoves" kabisa! Hopeless utopolo
 
Mwananchi mwenzangu ulieleta huu uzi unajua maana ya mbumbumbu????hapa umepoteza muda tu, mbumbumbu ana akili za kuvukia barabara tu, mbumbumbu fc ndivyo walivyo
Kama timu hauwezi kuvuka kwenda makundi nadhani ndiyo tafsiri nzuri ya mbumbumbu..kwa hiyo mbavuka tu barabara ..ha ha haa
 
Unawaonaje Simba kimataifa?Maana kipimo kipo huko.Mna point ngapi na Simba ana point ngapi?
Maana inaonesha michezo yenu ndiyo hiyo miaka yote ndio maana kimataifa mko "hoves" kabisa! Hopeless utopolo
Kimataifa gani
 
Unamkumbuka kambuzi ww...au unajizima data!?
 
Nawakumbusha tu Makolo, gape ni point 6, na leo Mtibwa wanapiga kwenye mshono.
hivi wee jamaa ni chadema kweli??? mbona chadema sio mapopoma hivi??? au ule msemo wa haji manara ndio una_reveal hapa??? "inapokuja swala la shabiki wa yanga hakuna tofauti kati ya kuli, profesa, Daktari, mwalimu au dalali na WAnakuwa na level moja ya akili au thinking capacity"
 
na mimi naongezea mwananchi mwenzangu
"MAKOLO WASITULETEE UPUMBAVU WAO HAPA"

wakati tunalalamika msimu uliopita walikaa kimya, now wanawashwawashwa
 
Ni lini nilikwambia Mimi ni Chadema? Mimi naunga mkono mabadiriko siyo mtumwa wa hivyo vyama vyenu, naweza kusapoti Chama chochote kilicho serious na ajenda za umma kasoro Ccm tu hawa ni kundi ka magaidi.

Halafu punguza ufala, jukwaa la michezo usilete ulevi wako wa siasa, ndio sababu wenzenu wanawaita bar vichaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…