Haya mambo ya kublock wapenzi wenu ni ushamba narudia tena ni ushamba

Haya mambo ya kublock wapenzi wenu ni ushamba narudia tena ni ushamba

Sasa kwani sisi ndio tumekublock aisee!
 
Kama hujambloku, hujampenda bado...

Mapenzi ni utoto

Unambloku ili usimpoteze hisia zikitulia unamblokua na unamwambia nilikubloku kama umekasirika na wewe nibloku halafu zikiisha niblokue tunanilii.....

Nanilii... turine.....😋.
Compact 😁😁 soma tu hii comment kisha ukwende zako.
 
Ngoja nimuite tunaeblokiana aje tublokuane kisha tukarine asali ya unyamwezini...😋😋.

Weeee babuuuuuuu

Tunaetiana bloku njoooowooooo

Ukuje nikupunguzie kitofali kimevimba sana usijeukasumbua watu ofisini kwenu kesho....😅.
Hongereni sana 😂 kwa ulivyomuita nina imani amesikia...

Nampenda ila sijawahi mpiga tofali 😂 akinikasirisha nafuta namba na mapicha picha yote. Tukiwa sawa naanza kuomba picha upya tu.
 
Hongereni sana 😂 kwa ulivyomuita niba imani amesikia...

Nampenda ila sijawahi mpiga tofali 😂 akinikasirisha nafuta namba na mapicha picha yote. Tukiwa sawa naanza kuomba picha upya tu.

Atapita hapa huku akitunisha misuli ya kifua chake...... Asante kwa niaba.

Kama namuona akija ananidaka juujuuu cha wimawima shwaaaaa....!

Ikirudi panchaa 😜.

Mapenzi matamu mkifahamiana, mkijuana na kuelewana.
 
Kuna mtu kaniblock mitandao yote,na sijamuuliza wa kumtxt kokote kule mwezi wa 5 sasa,juzi kati nikagundua kuna sehemu ananifuatilia kupitia account za mama yake 😀,na mimi nikatia block mama yake 😀
Swahiba hutaki Maskhara eti. 🤣🤣
 
Ukiblokiwa jitahid uwe unakula carot kama hii
JPEG_20210824_164616_49864009.jpg
 
Haya Mambo Kublock Wapenzi wenu ni Ushamba Unakuta Mna Kaugomvi Kadogo tuu ila Mnalimana block kila sehemu then baada ya mda mnapatana then Mnajiunblock huo ni Ushamba na Upumbavu, utoto na uzwazwa.

....Mambo ya Kublock ni ya Kishamba na ya Kipumbavu sana.
Mbona umetujuisha wote kwenye ujinga wako bila utafiti mwanangu. Kama uko blocked wewe si wote na acheni jazba na kujiaibisha kirahisi hivi. Ficheni ujinga wenu na kuonyesha ujuzi wenu. Kumbaff.
 
Haya Mambo Kublock Wapenzi wenu ni Ushamba Unakuta Mna Kaugomvi Kadogo tuu ila Mnalimana block kila sehemu then baada ya mda mnapatana then Mnajiunblock huo ni Ushamba na Upumbavu, utoto na uzwazwa.

....Mambo ya Kublock ni ya Kishamba na ya Kipumbavu sana.
Pole Mpwa, ungeoa tu
 
Back
Top Bottom