hill and portion
JF-Expert Member
- Sep 26, 2014
- 1,236
- 744
Taratibu huku ni sebuleni kuna watoto wengi twende kule kwetu.Vyovyote tu baba sina tatizo
Pole sana Next time nitakupeleka Ibiza kusherekea birthday sidhani nao kama wana tabia kama hizi ,teh tehKuna wengine wanakumwagia maji machafu aseee hii inakera sanaaa
Mimi iliwahi nitokea siku hiyo nimepigilia pamba mwisho wa sanduku yaani nimetokelezea juu mpaka chini
Banaaa wee mara maji chwaaaaa…… kwanzia kwenye nywele mpka miguuni yaaani nilichukia but sikua na namna
Hii stlye sio kabisa watu waziachie hukohuko boarding kwao chaaaaa
Asanteeee mkuuu kwa ofaPole sana Next time nitakupeleka Ibiza kusherekea birthday sidhani nao kama wana tabia kama hizi ,teh teh
Visiwa flani hivi huko Spain ,google utapata habari yakeAsanteeee mkuuu kwa ofa
But ibiza ndo wapii
Mghhh ayaaa banaaaVisiwa flani hivi huko Spain ,google utapata habari yake
Mi nimwagiwe tu sina tatizo
aisee afadhali wewe hukumbuki mie nimesahau kabisaa hata tarehe yenyeweHii kitu mimi mwenyewe sipendi birthday yenyewe sikumbuki ni lini nimesherekea
Dah!! Kumbe tupo wengi.Hii kitu mimi mwenyewe sipendi birthday yenyewe sikumbuki ni lini nimesherekea
Tupo wengi mkuu ,kuna mda mtu unasahau kula achilia mbali kukumbuka siku ya kuzaliwa ,Mara nyingi mama ndio hunikumbushaDah!! Kumbe tupo wengi.
Mara nyingi hukumbuka leo siku yangu ya kuzaliwa nikiwa tayari nipo kitandani naitafuta siku nyingine, kile kitendo cha kufikiria mihangaiko ya siku nzima, ndio baadae hukumbuka...ah! Kumbe leo siku yangu ya kuzaliwa!!, tayari siku inakuwa imeisha.
Wakati mwingine hupita wima hata sikumbuki, wacha kusheherekea.
Baada ya kuoa limekuwa jukumu la wife kunikumbusha, mie nasema na hela tu.
Dah! Maisha haya!!, wacha tu.
Mi nimwagiwe tu sina tatizo
Nashauri bia tuwe tunanwagiana mdomoni tuu.wengine wanamwagiwa bia badala yake