hill and portion
JF-Expert Member
- Sep 26, 2014
- 1,236
- 744
Kuna wengine wanakumwagia maji machafu aseee hii inakera sanaaa
Mimi iliwahi nitokea siku hiyo nimepigilia pamba mwisho wa sanduku yaani nimetokelezea juu mpaka chini
Banaaa wee mara maji chwaaaaa…… kwanzia kwenye nywele mpka miguuni yaaani nilichukia but sikua na namna
Hii stlye sio kabisa watu waziachie hukohuko boarding kwao chaaaaa