Keynez
JF-Expert Member
- Feb 12, 2007
- 3,809
- 6,948
Niliwahi kuleta uzi kuelezea mambo kadhaa yaliyofuatana kabla tu ya Mapinduzi (kama unaweza kuyaita hivyo) yaliyomtoa Robert Mugabe madarakani. Nia ni kuonyesha kwamba kulikuwa na "clues" kama ungekuwa na jicho la tatu la udadisi.
Leo nitatoa list ya mambo kadhaa yaliyotokea kabla tu ya maandamano ya kihistoria ya Tanzania yaliyoanza October 29-30. Haya nayo ni kama yalitoa clues ya kile kifuatacho Al Jazeera kama una uwezo wa kung'amua mambo mapema.
1. MO29 katika jezi ya Simba. Hii code iliibuliwa na "comedian" mmoja ikasambaa na kuibua hashtag ya #MO29.
2. Lissu na Heche kukamatwa (inawezekana ni njia ya kuwalinda). Kuna mtu nimemsoma amesema wangekuwa uraiani, inawezekana wangekuwa kwenye hatari zaidi. Sina uhakika kama nakubaliana naye ila naona uwezekano wa hili kuwa na mantiki.
3. Yanga kwa mara ya kwanza katika historia yake kuvaa jezi nyekundu. Walifanya hivyo katika press conference na warmup katika mechi zao za mwishoni kuelekea kwenye uchaguzi mkuu (nikumbusheni ni game gani).
4. Simba Day - Theme ya Mbosso kutumia filamu ya Mad Max: Fury Road - inayoashiria vurugu na "anarchy" au machafuko.
5. Yanga kutumia msemo "Mfumo Umekubali". Wakati wanatangaza kuachana na kocha). Hii ni code kubwa sana na labda inawezekana haijatimia kama ilivyotegemewa.
7. Simba kutoa sare dhidi ya Nsingizini katika game ya mwisho kuelekea kwenye uchaguzi. Hapa nitawaacha mjiongeze.
8. Slogan ya Yanga ya "Tunapiga Kichwani Tu". Hii ilipotoka miezi michache iliyopita nilijua wala haihusiani na mamipira. Hapa ndiyo dukuduku la maandamano lilikuwa limeanza.
9. Nadhani kuna code nyingine sikuziona katika maeneo mengine maana kiukweli siyo mfuatiliaji sana wa mambo kwa kutumia vyombo rasmi vya habari. Nina uhakika zipo code zaidi.
Ukitaka kupitia uzi wa Zimbabwe, soma hapa:
Haya mambo yalitokea kabla tu ya Mapinduzi ya Zimbabwe