DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 32,386
- 83,431
Haya mambo matatu yamekuwa yakiwachanganya sana watu wengi
1 .Call , (Wito
2. Fate
3 . Destiny (Hatima)
Baadhi ya watu wamekuwa wakipotosha either kwa kutoelewa haya mambo matatu kwa kujua au kwa kutokujua.
Kwa kuelezea haya mambo matatu nitatumia mfano wa Yusufu wa
kwenye Biblia na Quruan.
Wito ni nini - wito ni sauti ambayo unabidi kuiitikia , ila wito sio sauti unayobidi kuifata na kuifanya kama kazi yako . inayobidi kukupa malipo fulani
mfano kuna watu wana wito wa kusaidia , familia zao , jamii zao, kufundisha neno la Mungu , kuombea watu n.k
Mfano Yusufu wa kwenye biblia alikuwa na wito wa kusaidi watu kupitia uwezo wake wa kutafisiri ndoto . huu ulikuwa wito na hakuwa hakifanya hivi kujipatia pesa au utajiri.
kama ilivyo leo kwa watu wa dini wansema wana wito wa kufundisha neno na kuombea watu ila wanataka sadaka kwa wahumini wao na kuzitumia sadaka hizo kuishi maisha ya anasa , huu sio wito ni upigaji na uhuni .
unapoitikia wito wako lengo ukasaidie watu for the none benefits.
Baada y wito tuangalie Fate ambayo muda mwingine huweza kuitwa Hatima pia .
Fate ni nini , tunasema fate ni mambo yote yanayomtokea binadamu ambayo yapo nje ya uwezo wake hana uwezo wa kuyazuia yasimtokee au kuya-control. yanaweza yakawa mabaya au mazuri.
mfano Yusuf wa kwenye Biblia alitupwa shimoni na ndugu zake ili afariki hii ilikuwa ni Fate ambayo yeye hakupanga atupwe shimoni na alikuwa hana namna ya kuizuia .
Na mwisho tunaangalia Destiny na yenyewe huweza kuitwa hatima au njia ambayo binadamu anabidi kuifata ili kuishi ukuu wake katika mambo au jambo fulani .
mfano tunaona Yusuf baada ya kutupwa shimoni na kuokolewa na baadae kuuzwa nchi ya ugenini kama mtumwa kijakazi baadae alikuja kuwa waziri mkuu
kwahiyo Destiny ya Yusufu ilikuwa ni kuwa kiongozi mkubwa.
hitimisho
ni kweli Elimu ya kiroho ni pana ila usiache destiny yako kuifata na ukafata wito , kwakuwa you have to respond ur call but follow ur destiny.
vijana mnaocha kazi zenu na biashara kwa kusema mna wito wa kuhubiri neno that's a mistake unaweza kuhubiri neno ukiwa na kazi yako .
tofauti na hapo mtaleta contradiction. (utata)
pia unapopata jambo ambalo lipo out of ur countrol hiyo ni FATE
kaa chini mshukuru Mungu na kujua kuwa hiyo ni catalyst kuifikia destiny yako .
mfano haujafanya any mistake kazini kwako ila umekuwa fired kaa chini na uone labda ur destiny ni kuwapa watu ajira na sio kuajiriwa
mfano Jay z wakati anajitafuta kimuziki alipelekea demo katika record label companies zilimkataa na kumwambia THIS is trash 🗑️ hiyo ilikuwa ndo Fate
na akaona kuwa hata yeye anaweza kumiliki record label company ya kwake na alipofanya hivyo ika work out na leo Jay z yeye sio mfanyabiashara wa kawaida ila yeye ni brand kubwa duniani anauza kila kitu. kinachomuhusu .
kwahiyo Muda mwingine Destiny inaweza kutimizwa kupitia ur fate.