Muzine
JF-Expert Member
- May 4, 2017
- 32,366
- 60,453
Ongeza na nyingine uko sahihiHalafu ni dalili ya kuwa na;
1.mvuto
2.afya nzuri.
Kama nimesema uongo nikanushe hapa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ongeza na nyingine uko sahihiHalafu ni dalili ya kuwa na;
1.mvuto
2.afya nzuri.
Kama nimesema uongo nikanushe hapa.
Sema unayokutana nayo wengine kwetu inatupa raha pengine hii inatokana na uwasilishwaji wako hapa jf tunajikuta tunacheka kumbe mwenzetu ulipatwa na majanga......all in all maisha ni kuchagua unaweza ukaamua kutojipa furaha au ujipe raha!! Na wewe umeamua kujipa furaha na kutupa raha wengine tuendelee kuchekani kweli Curious gal no body can change me... na maisha ni kupanga, na kupanga ni kuchagua.. unachagua kuwa unachopenda then una enjoy maisha. mimi kutokana na aina yangu ya maisha najikuta nakutana na mambo mengi sana yakiwemo majanga na mabalaa yalozagaa kila kona ya dunia hii.
3.muaminifuOngeza na nyingine uko sahihi
Mkuu GuDume itapendeza ukijiunga na kikosi cha global publishers cha Erick Shigongo. Huitendei haki talanta yako. Hata kama unapiga mzigo wa profesheni nyingine, omba part time kwa Shigongo mkuu.sasa ungekuwa wewe dada yangu emmyta ungefanyaje? ungekausha? wakati inaonekana kabisa hali ya hewa imechafuka mle ndani na upo wewe tu... naye aliamua kujitoa ufaham kupunguza noma..baadaye tukawa marafiki tunacheka na kutaniana.
Ana KIPAJI.Ila we jamaa una moyo