Haya mambo yasikie kwa wengine.Huyu dada alitamani ardhi ifunguke Immeze. Leo hii ana Ushuhuda mwingine

Haya mambo yasikie kwa wengine.Huyu dada alitamani ardhi ifunguke Immeze. Leo hii ana Ushuhuda mwingine

Nimesoma therusi tu GuDume story zako zakutunga huwa unapendaga sana[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Hahahahaaaaaaa hiyo ni aibu sana kwa kweli bora kutumia akili ya ziada kupotezea
Ndio maana mtu mzima akichafua hali ya hewa wakiwepo watoto lazima awasingizie watoto, na watoto lazima wakubali japo hawajafanya hicho kitendo.
 
Ndio mdada alikuwa anajipatia raha mwenyewe ghafla GuDume kaingia[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Gudume nae sijui alitokea wapi khaaa😛😛 alimuharibia mdada wa watu starehe yake
 
Dah! Nyote mmekutana mna roho ngumu.

GuDume una roho ya ajabu kumuuliza dada Wa watu habari za kutoa gesi na dada naye akawa na roho na moyo wa kukujibu kwa ujasiri! Duh!
 
Gudume nae sijui alitokea wapi khaaa😛😛 alimuharibia mdada wa watu starehe yake
Hii starehe mara nyingi huwa inaingiliwa na vikwazo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ndio maana mtu mzima kama alikuwa peke yake akaanza kujisevia hii starehe, ghafla akaingia mtoto hapo lazima amtoe nduki kwa kumtuma ili atoke asiharibu shoo
 
Ni jambo la kumshukuru Allah kama huko ni salama pia. Nami pia nimekumiss aisee.

Ila sijui unajifichaga wapi aiseee sababu sijakuona muda kidogo humu?
Nipo sana; wakati mwingine inakuwa harakati za kikazi tu...shukrani sana.
 
Back
Top Bottom