Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeonaaeee...that's why akawa kama zuzu anayeweweseka tu.Kweli kabisa yaani. Kuanza kujichekesha ndio mwanzo wa yote hayo.
Hahahahahaaaaa hapo nimekukubali Mwifwa hakuna atakaeongelea tenaTena muda huo huo unaingiza story za ghafla na unakuwa muongeaji sana ili kupoteza attention juu ya uvundo, na hata kama atajua lazima apige kimya.
Hahahaaaaaa. Na kweli aisee.Umeonaaeee...that's why akawa kama zuzu anayeweweseka tu.
Huku kwema Emmyta...nimekumiss.Hahahaaaaaa. Na kweli aisee.
Kwema lakini huko uliko?
Hahahahaaaaaaa hiyo ni aibu sana kwa kweli bora kutumia akili ya ziada kupotezeaMiongonj mwa mambo ambayo lazima akili icheze fast mojawapo ni hili maana kuaibika kizembe sio vizuri.
Ndio maana mtu mzima akichafua hali ya hewa wakiwepo watoto lazima awasingizie watoto, na watoto lazima wakubali japo hawajafanya hicho kitendo.Hahahahaaaaaaa hiyo ni aibu sana kwa kweli bora kutumia akili ya ziada kupotezea
Wanajua ni tendo la aibu sema ndo hivo tenaNdio maana mtu mzima akichafua hali ya hewa wakiwepo watoto lazima awasingizie watoto, na watoto lazima wakubali japo hawajafanya hicho kitendo.
Jambo la aibu lenye raha yake[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wanajua ni tendo la aibu sema ndo hivo tena
😀😀😀😀😀 raha yake uwe mwenyewe mbona utaenjoy😉Jambo la aibu lenye raha yake[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ni jambo la kumshukuru Allah kama huko ni salama pia. Nami pia nimekumiss aisee.Huku kwema Emmyta...nimekumiss.
Ndio mdada alikuwa anajipatia raha mwenyewe ghafla GuDume kaingia[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]😀😀😀😀😀 raha yake uwe mwenyewe mbona utaenjoy😉
Gudume nae sijui alitokea wapi khaaa😛😛 alimuharibia mdada wa watu starehe yakeNdio mdada alikuwa anajipatia raha mwenyewe ghafla GuDume kaingia[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hii starehe mara nyingi huwa inaingiliwa na vikwazo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ndio maana mtu mzima kama alikuwa peke yake akaanza kujisevia hii starehe, ghafla akaingia mtoto hapo lazima amtoe nduki kwa kumtuma ili atoke asiharibu shooGudume nae sijui alitokea wapi khaaa😛😛 alimuharibia mdada wa watu starehe yake
Nipo sana; wakati mwingine inakuwa harakati za kikazi tu...shukrani sana.Ni jambo la kumshukuru Allah kama huko ni salama pia. Nami pia nimekumiss aisee.
Ila sijui unajifichaga wapi aiseee sababu sijakuona muda kidogo humu?