Hawa vijana sometimes sijui kwanini wanapenda kutumia lugha isiyo rasmi.. Ni kama wanatengeneza lugha yao mpya.. Umeshaona kwenye matumizi ya S wanaweka X? Kuku wanaweka K? Lakini bata hawaweki B😀Unataka kusemaje? Kaka mkubwa sisi wengine hatujasomea CUBA.
Xaxa xi maixha yao?Hawa vijana sometimes sijui kwanini wanapenda kutumia lugha isiyo rasmi.. Ni kama wanatengeneza lugha yao mpya.. Umeshaona kwenye matumizi ya S wanaweka X? Kuku wanaweka K? Lakini bata hawaweki B😀
Maana yake?Yatumie kwa tahadhari kubwa
Tutaco
Gutaco
Wakenya haoSiku hizi unakuta jitu la miaka 50+ linakwambia "Kuna mtu ako na namba ya watu wa NIDA."
hapanaWakenya hao
"Ukilitamkwa" ? Hili lipo sahihi mkuu?Neno bwawa pia ukilitamkwa mahala kwenye wanawake wengi...linazua sintofahamu!
Kikubwa umeelewa..baaaas!...maswala ya typing error achana nayo!"Ukilitamkwa" ? Hili lipo sahihi mkuu?
Ningeelewa nisingeulizaKikubwa umeelewa..baaaas!...maswala ya typing error achana nayo!
Haaaahaa 😁Hawa vijana sometimes sijui kwanini wanapenda kutumia lugha isiyo rasmi.. Ni kama wanatengeneza lugha yao mpya.. Umeshaona kwenye matumizi ya S wanaweka X? Kuku wanaweka K? Lakini bata hawaweki B😀