Haya maneno mawili ni Kiswahili kilichopotoshwa na GenZ

Hawa vijana sometimes sijui kwanini wanapenda kutumia lugha isiyo rasmi.. Ni kama wanatengeneza lugha yao mpya.. Umeshaona kwenye matumizi ya S wanaweka X? Kuku wanaweka K? Lakini bata hawaweki B😀
Xaxa xi maixha yao?
 
Siku hizi unakuta jitu la miaka 50+ linakwambia "Kuna mtu ako na namba ya watu wa NIDA."
 
Shee nenda nyumbani sasa🙆‍♂️🙆‍♂️🙆‍♂️
Sasa ndio nguo ya ndani ya kike waite kifuniko cha asali shee..!mbona havifanani😀
 
Hawa vijana sometimes sijui kwanini wanapenda kutumia lugha isiyo rasmi.. Ni kama wanatengeneza lugha yao mpya.. Umeshaona kwenye matumizi ya S wanaweka X? Kuku wanaweka K? Lakini bata hawaweki B😀
Haaaahaa 😁

Umenikumbusha mzee kifimbo chezaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…