Haya maneno ya Rais Mstaafu Kikwete yataishi milele

Kwanini hakushughulikia mchakato mzima kwenye awamu yake?

Huyu kwenye somo la kujua kula na kipofu ana A
Tatizo katiba mpya haiwezi kuletwa na Rais aliyeko madarakani peke yake. Jua yeye Rais anakuwa ameshakula vya kutosha na kushiba lakini wapambe waliyoko nyum yake wanakuwa bado hawajashiba hivyo hawawezi kumpa support kwenye hilo la kutaka kupoteza ulaji. Katiba mpya itagusa maslaji ya watu wengi wanaonufaika ma ubovu wa katiba hii so siyo jambo rahisi hivyo kuibadilisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…