ofisa JF-Expert Member Joined May 15, 2011 Posts 4,340 Reaction score 4,069 Jan 4, 2025 #41 Mnachosahau ni CHADEMA waliweka mpira kwapani kuwa hawataki mchakato uendelee,Mwanadeplomasia Kikwete akakubaliana nao,ni heri udikteta ungetumika tu kwa waliosusa wasuse mpira uendelee.
Mnachosahau ni CHADEMA waliweka mpira kwapani kuwa hawataki mchakato uendelee,Mwanadeplomasia Kikwete akakubaliana nao,ni heri udikteta ungetumika tu kwa waliosusa wasuse mpira uendelee.
milele amina JF-Expert Member Joined Aug 16, 2024 Posts 6,045 Reaction score 8,080 Jan 4, 2025 #42 Yoda said: View attachment 3073533 Click to expand... JK haeleweki,ndipo ametufikisha