Haya maneno yanayosambaa kuhusu SGR ni kweli au ni uzushi?

images (28).jpeg
 
Kutokana na mgao au ukosefu wa umeme mara kwa mara Kariakoo katika hizi siku za karibuni, kuna minon'gono inaendelea, je ni kweli? Au ni uzushi.

Wanasema eti umeme wote unapelekwa kwenye SGR, Na ndio maana si ajabu kwa kariakoo siku hizi kukaa mpaka masaa 18 bila umeme.

TANESCO
Tanesco hawaruhusiwi kutujibu baada ya matarajio ya bwawa la mabwawa kugota.
 
Kutokana na mgao au ukosefu wa umeme mara kwa mara Kariakoo katika hizi siku za karibuni, kuna minon'gono inaendelea, je ni kweli? Au ni uzushi.

Wanasema eti umeme wote unapelekwa kwenye SGR, Na ndio maana si ajabu kwa kariakoo siku hizi kukaa mpaka masaa 18 bila umeme.

TANESCO
Hata hiyo SGR yenyewe inakosa umeme muda mwingine
 
Jana nilipandisha Uzi kuhusu faida ya SGR ikiwa gharama za umeme ni zilezile, Leo mdau umegusia jambo muhimu sana.
 
Juzi tu hapo si walisema tunazalisha Megawatts 3000, mahitaji ya nchi ni Megawatts 1800, kwahiyo tuna excess ya kuuza kwa majirani
 
Kutokana na mgao au ukosefu wa umeme mara kwa mara Kariakoo katika hizi siku za karibuni, kuna minon'gono inaendelea, je ni kweli? Au ni uzushi.

Wanasema eti umeme wote unapelekwa kwenye SGR, Na ndio maana si ajabu kwa kariakoo siku hizi kukaa mpaka masaa 18 bila umeme.

TANESCO
Ni uzembe tu wa TANESCO umeme upo wa kutosha.
 
Back
Top Bottom