Haya maneno yanayosambaa kuhusu SGR ni kweli au ni uzushi?

Lisemwalo lipo
 
mmh umeme huu huu unaopeleka watu Dodoma kwenye kikqo
 
Chama dola kimenunua maZutong, kumaanisha hawana imani na SGR...

Border to border ndo usafiri wetu Tanganyika, tupoteze muda na maisha njiani.

Umeme, ni sehemu ya maendeleo ya kweli, kwa hii awamu, HAKUNA MAENDELEO ila MAENDELEZO YA AWAMU YA 4.
 
Hii hali ya umeme kukatika imekuwepo miongo na miongo kabla hata ya SGR.

SGR naye ni muhanga kama sisi tu.
 
Jaman tulieni tuna jambo Dodoma !!!
 
Nilishangaa sana kusikia et bwawa jipya ni tiba ya umeme tz, af nyie watu mjue kufikiria kuwa aliebuni hio miradi kama sgr au bwawa la nyerere ndo alikuwa anajua namna ambavyo ingefanya kazi. mfano kuzalisha umeme mkubwa na pia punguzo kubwa la umeme kwa watanzania.. sasa hizi keng€ zilizoachwa mtalia mpaka bhc na hamna chochote coz master mind already gone.
REST IN PEACE MAGUFULI.
 
Atakama alikuwa anajua c alishirikiana na watu ,hao watu hawapo?
 
Ni sawa, ila mifumo haitegemei ntu mmoja tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…