Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
Hata yeye hakupendi.
Hahhhahhhahhha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata yeye hakupendi.
Haya, huu ndio u celebrity wa Bongo.
Kids? SMDH!
Nisaidie summary mamii. Ameongelea wanaume wangapi hapo?
lazma wanaswe na kale ka sauti ka kumtoa 'nyoka' pangoni!...ila kiukweli huyu mtoto wa kawaida sana! Nashangaa watu wanavyo mpatitikia....
Kumbe interview ndio zinampatia wanaume, pengine ndio maana huwa anabana sauti.
picha zake zote nilizowahi kuziona ni za usoni tu.......
Ndio maana JJM alimstukia akasepa ZZK akaingia nyavuni.
Nimeona watano.......sasa sijajua mpaka sasa nini kinaendelea.....
Na ambao ni nobody's je?
Hawa watoto wa kike wanafikiriaga mbele kweli?
Siku watakayoitwa Mama?
fursa mdauKumbe interview ndio zinampatia wanaume, pengine ndio maana huwa anabana sauti.
Hahahahha,mdau jamaa hajaoaJamaa kajitoa mhanga kuoa matatizo.