Preta
JF-Expert Member
- Nov 28, 2009
- 24,320
- 18,852
Na ambao ni nobody's je?
Hawa watoto wa kike wanafikiriaga mbele kweli?
Siku watakayoitwa Mama?
Mimi ningepata nafasi ya kuwashauri........ningewaambia wawe wanajifunza kunyamaza........wanaongea sana........