Haya mapenzi balaa! huyu Diva wa Clouds FM kazidi jamani

lakini love at 1st sight is not a real love ila ni tamaa,na 2rd time inakutana nae ukakubali akubusu kimahaba ujue ww n mrahisi
 
lakini huyu si ni 'great thinker' ...au kwenye mahusiano hilo halipo?!!

 

am next...nina interview nae mwezi..stay tuned
 
Kwahyo braza katemwa. Dar inasikitisha sanaa.
 
Hivi ukiambiwa uchague ice cream vanila na Sony Z 2 unachagua nini.
 
Hivi ukiambiwa uchague ice cream vanila na Sony Z 2 unachagua nini.

Diva yumo humu kweli mkuu?

This is a sign that you too might need an interview.:tape:
 
Dah sijawahi kuona mwanamke anayejua kumsifia mpenzi wake kama huyu,kwahilo anastahili PHD.Diva bwana huwa nashindwa kumdefine ni mtu wa namna gani,ngoja niishie hapa tu isiwe tabu!
 
am next...nina interview nae mwezi..stay tuned

kwajinsi ulivyo mkali wa picha lazima tukuinterview,ila mbona uzi huu hujaleta picha?? au ndo unaogopa utapigwa chini??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…