Haya mapenzi bwana acha nicheke tu!

Imekuuma bidada kamnyima mbunye mwanaume mwenzenu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Mabaharia wananisaidia maana wanajiuliza kwanini aninyime kitu akopewa bure na nishaicahakata masiku ya nyuma
 
Itoshe kusema kwamba huyo demu wako anakuchezea tu ebu kuwa makini usije kupigwa na kitu Kizito
 
Itoshe kusema kwamba huyo demu wako anakuchezea tu ebu kuwa makini usije kupigwa na kitu Kizito
Aaah bora umeongea mkuu. Japo nimepindisha mambo kadhaa ili isiwe direct kwa mhusika labda yupo humu
 
Elon Musk kabla ya kufanikiwa, alijaribu kufanya zaidi ya biashara 3 na mara zote zikafeli.

Mzee Bahresa kabla ya kufanikiwa, alishafanya biashara zaidi ya 6 na kuishia kupata hasara.

Wewe ni nani unataka kufanya investment kwa huyo binti bila kupitia changamoto.

Chaguo ni lako, uendelee na hiyo biashara uliyoanza kufeli ama utafute nyingine. πŸ€—
 
Mkuu kula tano. Ungekua karibu ningekupa kilimanjaro lager ya bariiidi
 
Huyo anakuhitaji ila una mawenge flani hivi
 
Ok. So namna gani ya kuondoa mawenge mkuu
Kama ana sifa zote sisi watu wa Mbozi huwa tunabeba kabisa alafu akifika kwako unasema naenda kesho kwa wazazi wako na unaweka na Pete ya uchumba juu ya kidole na shopping flani hivi ya kukata na shoka kwenda kwa wazazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…