Haya mapenzi bwana acha nicheke tu!

Haya mapenzi bwana acha nicheke tu!

Wewe ulikuwa unataka mbunye hukuwa na malengo naye yoyote!!!
Bora bidada alivyokushtukia kakunyima
Unaweza kuwa na mipango ya kumuoa mwanamke 100℅ ila kutokana na mambo yake hayaeleweki ukaishia kutaka mbunye tu.
Shida ya mwanamke huwa hajui achague kipi na aache kipi.
Anaweza kuwapanga hadi 6 lkn wote wakaishia kumchezea iko hivi. Mwanamke hawezi kuwapanga wanaume zaidi ya mmoja na wote wasingudue ila mwanaume anaweza kuwa na wanawake hata 6 na wote wasingudue.
Mwanamke ameumbwa kumpenda mwanaume mmoja kwahiyo kwenye 6 anampenda mmoja na 5 anapunguza upendo na kuweka sababu nyingi ila wote 6 anajua mmoja kati yao atamuoa.
Kweli kuna mmoja atakuwa na mipango ya kumuoa ila kutokana na mwanamke kumuamini sana mtu mmoja kati yao, anajikuta anamuamini na kumpenda tapeli na mwenye nia anamuacha matokeo yake, idadi inapungua na haoni tena matumaini na hapo anaanza kujaribu baada ya kuona mipango imefeli.
Ndiyo maana mwamba anampotezea halafu demu anarudi mwenyewe.
 
Kama ana sifa zote sisi watu wa Mbozi huwa tunabeba kabisa alafu akifika kwako unasema naenda kesho kwa wazazi wako na unaweka na Pete ya uchumba juu ya kidole na shopping flani hivi ya kukata na shoka kwenda kwa wazazi
Noma sana eeeh
 
Unaweza kuwa na mipango ya kumuoa mwanamke 100℅ ila kutokana na mambo yake hayaeleweki ukaishia kutaka mbunye tu.
Shida ya mwanamke huwa hajui achague kipi na aache kipi.
Anaweza kuwapanga hadi 6 lkn wote wakaishia kumchezea iko hivi. Mwanamke hawezi kuwapanga wanaume zaidi ya mmoja na wote wasingudue ila mwanaume anaweza kuwa na wanawake hata 6 na wote wasingudue.
Mwanamke ameumbwa kumpenda mwanaume mmoja kwahiyo kwenye 6 anampenda mmoja na 5 anapunguza upendo na kuweka sababu nyingi ila wote 6 anajua mmoja kati yao atamuoa.
Kweli kuna mmoja atakuwa na mipango ya kumuoa ila kutokana na mwanamke kumuamini sana mtu mmoja kati yao, anajikuta anamuamini na kumpenda tapeli na mwenye nia anamuacha matokeo yake, idadi inapungua na haoni tena matumaini na hapo anaanza kujaribu baada ya kuona mipango imefeli.
Ndiyo maana mwamba anampotezea halafu demu anarudi mwenyewe.
Upo sahihi mkuu. Nampotezea ila anajirudi mara kwa mara japo ni mzuri kiasi chake. But this time NO
 
Unaweza kuwa na mipango ya kumuoa mwanamke 100℅ ila kutokana na mambo yake hayaeleweki ukaishia kutaka mbunye tu.
Shida ya mwanamke huwa hajui achague kipi na aache kipi.
Anaweza kuwapanga hadi 6 lkn wote wakaishia kumchezea iko hivi. Mwanamke hawezi kuwapanga wanaume zaidi ya mmoja na wote wasingudue ila mwanaume anaweza kuwa na wanawake hata 6 na wote wasingudue.
Mwanamke ameumbwa kumpenda mwanaume mmoja kwahiyo kwenye 6 anampenda mmoja na 5 anapunguza upendo na kuweka sababu nyingi ila wote 6 anajua mmoja kati yao atamuoa.
Kweli kuna mmoja atakuwa na mipango ya kumuoa ila kutokana na mwanamke kumuamini sana mtu mmoja kati yao, anajikuta anamuamini na kumpenda tapeli na mwenye nia anamuacha matokeo yake, idadi inapungua na haoni tena matumaini na hapo anaanza kujaribu baada ya kuona mipango imefeli.
Ndiyo maana mwamba anampotezea halafu demu anarudi mwenyewe.
Mambo yake yepi,sema hauko tayari,hao watu wako makini when it comes to lies and truth,if you are serious go next level.She don't want be played
 
Hakupendi....haya soma kwa sauti bila kulia[emoji28]

Huyo alikuwa anataka mbunye ya bure bila ndoa, eti kasafiri mpk mkoa aliokuwepo bi dada akale mbunye kweli? [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Unaweza kuwa na mipango ya kumuoa mwanamke 100℅ ila kutokana na mambo yake hayaeleweki ukaishia kutaka mbunye tu.
Shida ya mwanamke huwa hajui achague kipi na aache kipi.
Anaweza kuwapanga hadi 6 lkn wote wakaishia kumchezea iko hivi. Mwanamke hawezi kuwapanga wanaume zaidi ya mmoja na wote wasingudue ila mwanaume anaweza kuwa na wanawake hata 6 na wote wasingudue.
Mwanamke ameumbwa kumpenda mwanaume mmoja kwahiyo kwenye 6 anampenda mmoja na 5 anapunguza upendo na kuweka sababu nyingi ila wote 6 anajua mmoja kati yao atamuoa.
Kweli kuna mmoja atakuwa na mipango ya kumuoa ila kutokana na mwanamke kumuamini sana mtu mmoja kati yao, anajikuta anamuamini na kumpenda tapeli na mwenye nia anamuacha matokeo yake, idadi inapungua na haoni tena matumaini na hapo anaanza kujaribu baada ya kuona mipango imefeli.
Ndiyo maana mwamba anampotezea halafu demu anarudi mwenyewe.

Huyo mwamba unayemtetea hana lolote alipenda mbunye ya bure tu! [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wakuu habari zenu wote, acha nianze kwa kucheka[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Mwaka fulani nipo namtafuta binti nimtongoze nikazama moja ya account yake ya mtandao fulani. Nikamcheki tukawa tunabadilishana mawazo mara mbili mara tatu tukazoeana kiasi japo sio saana. Siku zikaenda, ikawa wiki mwezi. miezi hadi mwaka ukakamilika.

Hapo ilikuwa tunachat tu kwa huo mtandao, dada ni mzuri kiasi chake. Siku moja nikaona nisiweke usku saana, nikamwomba namba. Ajabu akachomoa na kejeli na status zikawekwa kunibonda kabisa nafsi yangu na kutojali hisia zangu.

Nikavumilia, nikazoea na nikapotezea kwa muda ila bado nilikuwa namuhitaji sana kwa maana I was really in love with her. Ikawa bahati kuna mwana anamjua, tukawa tunapiga story mara nikawa naangalia picha za mchuchu huyo kwa mtandao pendwa ule alizoweka kwa account yake.

Mwana akaniuliza umemwelewa, nikamwambia ndio na nikampa mpango mzima kuwa kuna moja na mbili. Akasema hili suala dogo, akaitafuta namba ya mtoto akaipata tena fasta, jamaa wana undugu na binti. Namba kupatikana jamaa akawa anamsalimia binti halafu akamchana mbona fulani aliomba hili ukamjibu mbovu nk?

Binti akasema kuna moja na mbili, mwana akaweka sawa mambo yakajipanga mtoto akakubali nipewe namba zake. Kilichofuata tukawa tunawasiliana kwa simu za kawaida, kupigiana na kutumiana sms au picha ikawa kawaida.

Siku zikasogea nikaomba game akawa analeta za kike ila akaelewa, akaja nilipo tukakaa wote magetoni kwangu zaidi ya wiki na siku 2 daily ilikuwa nikufanya mambo ya watu wakubwa. Ni mzuri na yupo vizuri, mambo yake matamu.

Akarudi mkoa wake tukawa tunawasiliana na mipango kedekede ikawa tunaipanga. Mara sijui akaanza kuwa busy usiku, nikambana kumuuliza hilo, mwanzo alikuwa anasema ni mdogo wake anaongea nae. Mwisho akasema kuna ex wake anamtafuta warudiane, mimi nikampa option achague mwenyewe maana hatuforce.

Kuanzia pale ikawa hatuna maelewano mazuri, akipiga simu nisipopokea anatuma sms nipo na malaya zangu. Nikaona huu ni upuuzi, hata muda wa kutafuta riziki niwe naongea na simu always.

Nikaona ananitafutaia kosa, mimi nikamuwahi kujitoa. Ikawa sijali kuhusu yeye, akiweka status naview halafu nakula kimya, simsifii wala kumkosoa. Aisee, akapanda inbox siku za mbele na kuanza kuuliza mbona nimebadilika, nikajibu ubusy tu hakuna kingine.

Siku zikaenda tena nikaanza kumtoa kwa mipango yangu, ila nilimwambia sioni kufika mbali na yeye, akawaka sana ila sikujali. Siku zikaenda mbeleni nikawa nakosa mtu sahihi nikajirudi kwake, akakaza kidogo, baada ya kuomba msamaha akakubali yakaishaa. Tukawa tunachat na kupigiana simu kama mwanzo. Siku moja nikampanga kuwa nitakuja mkoa aliopo, akaelewa na tukamaliza fresh.

Siku zikaenda maongezi yalikuepo nikiamini tutaonana nikifika mkoa wake. Ajabu nilipofika mkoa ule nikamwomba tuonane akajibu hapana. Ikawa simuelewi, nikaona kuna kuwekana sub hapa, poa nikawa tayari kwa hilo.

Ndani ya mwezi huo ikawa birthday yake nikiwa mkoa huo huo, ila aliniambia kama leo halafu kesho ndio birthday yake.

Nikamwomba tuwe wote usiku wa birthday yake na nimemiss, akajibu haiwezekani mimi namchezea tu na kufoka sana, nikajibu sawa. Akauliza zawadi? Nikamjibu hao uliokuwanao watakupa zawadi, usiku mwema. Zikawekwa status, nikaview bila kureply chochote.

Muda wa kukaa mkoa ule ukaisha nikasepa zangu mkoa wangu ninapoishi. Akawa ananitafuta napokea ila ile kujivuta, akawa anamind nikawa simuwekei attention tena. Siku zikaenda nikapata nafasi ya kurudi kikazi mkoa aliopo, nikamtaarifu kuwa nakuja tuonane akajibu hataki kuchezewa. Nikasema fine hii ya mwisho.

Wiki za juzi akanitafuta ooh naumwa, naomba moja na mbili mimi nikamwambia pole nenda hospotalini. Akajibu ashaenda, nikamwambia sawa kunywa dawa, kula ushibe na maji ya kutosha (Malaria).

Baada ya kuumwa anataka tuonane tena kwa kuona hajakosea na kujitetea kwa sana [emoji16][emoji16][emoji16], acha nicheke kidgo tena. Ikawa siku, majuma, mwezi! Ila kwasasa nimemtoa mazima, maana naona tulikua wengi halafu kuna washauri kibao ndani yake na kwa style hiyo hatutafika mbele.

Mshauri na maoni ruksa.
Huko juu umeanza vizuri umekuja kuzingua hapo unaomba ushauri, ushauri wa nini sasa? umeshaamua kuendelea na harakati zako ki solo ushauri wa nini
 
Ki uhalisia kabisa huu uzi ulitakiwa uwe kule kwenye story za kulana kimasihara
 
Huko juu umeanza vizuri umekuja kuzingua hapo unaomba ushauri, ushauri wa nini sasa? umeshaamua kuendelea na harakati zako ki solo ushauri wa nini
Hicho kidokezo tu mkuu. Hakuna cha ushauri si unajua jf wanapenda hivyo
 
Huyo alikuwa anataka mbunye ya bure bila ndoa, eti kasafiri mpk mkoa aliokuwepo bi dada akale mbunye kweli? [emoji23][emoji23][emoji23]
Kama nilishaila kwann ninyimwe tena..?
 
Back
Top Bottom