Pretty-baby
Member
- Jan 25, 2012
- 56
- 7
Du! kwahiyo mpenzi wako akikwambia I love you baby, basi anakupeenda?
michael c unajua wanawake tunapenda kusikia ?
Mr rock nieleweshe sasa, yamkini cjui mapenzi nini?
kutenda nini? mr rocky?
Ndio hapo nashindwa kumuelewa dada, anataka maneno kuliko vitendo?Nashindwa hata kuelewa
Je akimwambia I love you nyingi huku nje ana wengine kibao kwake naona ni burudani
Hivi mapenzi ni nini ahhh may be angeanzia hapo kujiuliza
Pretty hata kama unapenda kusikia zaidi angalia matendo anayokufanyia ndio kipimo tosha kuliko kauli.michael c unajua wanawake tunapenda kusikia ?
Ndio hapo nashindwa kumuelewa dada, anataka maneno kuliko vitendo?
Mkuu haya mambo haya
Ukisema noma usiposema noma na unawez asema huku unajutia hayo maneno maana unajua ni uwongo mtupu
Afadhali kujikalia kimya kabisa