haya mapenzi siyaelewi, nisaidieni wakuu!

haya mapenzi siyaelewi, nisaidieni wakuu!

Pretty-baby

Member
Joined
Jan 25, 2012
Posts
56
Reaction score
7
hi to all, ninampenzi wangu tuliachana tukarudiana lakini tangu tumerudiana mpaka leo hajawai kunitamkia nakupenda,nimekumic na maneno mengine mengi kama alivyonitamkia zamani,ila ninacho jiuliza kuna mapenzi hapo? au ? ushauri wa kimtazamo tafathali.:juggle:
 
Kabla ya maneno, hebu angalia matendo yake (na yako). Inawezekana kweli hakumis kwani hakuna anachokimis. Kama kukupenda, c alishakwambia mwanzoni. Naamini hata sasa ukimjengea mazingira ya kuitamka tena atatamka...
 
NN hebu sema jambo bana
Maana hiyo mshangao uliyobaki nayo ni balaa
 
Du! kwahiyo mpenzi wako akikwambia I love you baby, basi anakupeenda?

Nashindwa hata kuelewa
Je akimwambia I love you nyingi huku nje ana wengine kibao kwake naona ni burudani
Hivi mapenzi ni nini ahhh may be angeanzia hapo kujiuliza
 
Mr rock nieleweshe sasa, yamkini cjui mapenzi nini?


We umempenda ili usikie kila siku anasema I mic u or I love you au mnapendana kwa mapenzi yaliyo moyoni mwenu
Hivi akisema hivyo huku ana mpenzi mwingine we utaendelea kufurahi kwa kuwa anasema tuu maneno hayo
Mapenzi yanatoka moyoni mwa wawili wapendanao na sio maneno ya mdomoni
Hayo maneno ni vichocheo tuu aviseme au asiviseme havina tatizo lolote kwenye mapenzi mradi ana mapenzi ya kweli toka moyoni mwake
 
Nashindwa hata kuelewa
Je akimwambia I love you nyingi huku nje ana wengine kibao kwake naona ni burudani
Hivi mapenzi ni nini ahhh may be angeanzia hapo kujiuliza
Ndio hapo nashindwa kumuelewa dada, anataka maneno kuliko vitendo?
 
Mpe muda atakapojisikia kukwambia atakwambia. As long as matendo yanaashiria kukupenda, heshima ipo na anakujali hauna haja ya kuifikiria hiyo "I love you" sana, jifanye umeisahau ili hata siku akikwambia inoge.
 
Wengine neno hilo gumu sana inategemea..sidhani kama wanaume wengi wanapenda kutumia hizo maneno na ukikutana na mwanaume ghafla ghafla tu anaanza kukwambia "I LOVE YOU" kimbia haraka jua hapo unatapeliwa
 
Kwa kweli mimi ikipita wiki cjasikia haya maneno ni kesi tosha hamna cha matendo wala nn aseme,people say i take ur word and not i take ur actions so my dear ask him why?he mr Rocky kweli unaweza kaa wiki bila kumuambia umpendae hivi vineno?
 
Mkuu haya mambo haya
Ukisema noma usiposema noma na unawez asema huku unajutia hayo maneno maana unajua ni uwongo mtupu
Afadhali kujikalia kimya kabisa

Kweli mkuu! mi nadhani dada pretty badobado sasa siunajua mapenzi ya kiskuli, honey, babiee, love uuuu kibaooo missing ndio usiseme, masaa mawili msg, mara missed call, n.k
Sasa nikuulize mkuu upo kazini kwako mikazi imekubana , ripoti j3 ulituma fyongo, mabosi nao ndio hivyoo kila wakati ebu nipe lile file la naniii, mbona haujalifanyia kazi? na mambo kama hayo hivii utaikumbuka baby miss uu?
 
ujue 'nakupenda' ni neno zito sana.
Huwa tunali-misuse tu.

Bora asiseme kama hamaanishi.
 
Back
Top Bottom