Haya mapenzi ya Trump kwa Israel afanyiwe DNA test yawezekana ni myahudi, Maelfu ya mabomu ya MK-84 yaliyozuiliwa na Biden yamewasili Israel

Hakuna myahudi mzungu. Hata hao kina Netanyahu ni wazungu waliotokea Poland, Uturuki, Greece na Ulaya mashariki ambao wamepelekwa hapo mashariki ya kati kwa ajili ya mpango maalumu wa kimasilahi ya wazungu, haswa Marekani na Uingereza.
ndio stori mnazodanganyana huko misikitini
 
Weka ushaidi we zuzu wa kiyahudi wa kwa mtogore
A lot of things that were ordered and paid for by Israel, but have not been sent by Biden, are on their way!” Trump wrote on his social media app Truth Social, without providing further details.

Kwa taarifa zaidi katafute post ya Trump kwenye mtandao wake wa Truth tarehe 26 Januari, 2025.

NB: Kuwa muislamu siyo kuwa zoba kama wewe.
 
Hakuna myahudi mzungu. Hata hao kina Netanyahu ni wazungu waliotokea Poland, Uturuki, Greece na Ulaya mashariki ambao wamepelekwa hapo mashariki ya kati kwa ajili ya mpango maalumu wa kimasilahi ya wazungu, haswa Marekani na Uingereza.
Wajinga wanaojiita wasomi wanajitoa akili kutulazimisha tukariri kwamba hii ni SWALA kidini,Huu ni wizi kama wizi mwingine.
 
Kama huamini kwamba ni mgogoro wa kidini basi wewe ni mpumbavu. Kama siyo mgogoro wa kidini kwanini Hamas waliita oparesheni yao Al Aqsa Flood?
Bora kuwa mjinga kuliko kuwa mpumbavu kama wewe kwa sababu huwezi kuelimika
Mpumbavu babako,tunatumia macho wote,tunaona kila kitu Mimi siwezi kuwasikiliza hamasi kwa sababu uislam umetumika kama koti muda mrefu kujaribu na kukamilishia misheni nyingi za kijinga.Kama huwezi kujadiliana kwa ADABU usitukane watu.
 
Kama upumbavu ni neno zuri mpe na mamako.6 pack alishamaliza nada hii.
 
Mimi siyo mpumbavu kama wewe kwa sababu waliyofanya ndugu zako katika imani na maneno yao ya kijihad yapo wazi.

Sitegemei kuambiwa na watu kama wewe ulivyoshikiwa akili na waarabu
Mpogoro na waarabu wapi na wapi?kama umeshikwa shikwa wewe.
 
Aaaaah muda sio mrefu madevu devu na kobazi zitaanza kusambaa hewani tena ngoja
 
mpogoro mtumwa wa waarabu. Pamoja na weusi wako bado unafuga ndevu ufanane nao.
Watu wanapambana kuokoa msikiti wewe unawaita wapigania uhuru. Bure kabisa
Kumbe unaniona huko uliko aisee una macho,ngoja nikusalimie shpogolo NENGA NAKUFIRA MPAKA KUMOYO.
 
Iran walishachakazwa na marubani wa kike wa Israel

Viwanda vya makombora na drones vilipigwa, wanajeshi wanne walichomolewa, mitambo ya kubaini na kuzuia mashambulizi ya anga haikuweza chochote ilichakazwa, Mitambo ya kufua umeme ilifumuliwa.
Tunaomba Ushaidi wa unachosema!!!!! ?????? Mm naweza kukwambia ISRAEL ilibutuliwa na IRAN Ushaidi upo,, aya naww lete Ushaidi IRAN Ikipigwa!!??????
 
Duh hatari kwelikweli
 
Sio Trump pekee, Rais yeyote wa Marekani lazima aikumbatie Israel, kiwango cha mahaba tu ndicho kinachotofautiana. Siku zote Marekani na Israel ni kitu kimoja
 
Hakuna myahudi mzungu. Hata hao kina Netanyahu ni wazungu waliotokea Poland, Uturuki, Greece na Ulaya mashariki ambao wamepelekwa hapo mashariki ya kati kwa ajili ya mpango maalumu wa kimasilahi ya wazungu, haswa Marekani na Uingereza.
Wayahudi og wako wapi?
 
Wayahudi og wako wapi?
Wapo Israel. Lakini hawapewi nafasi ya kufanya maamuzi kwenye serikali, jeshi wala mahakama.

Ni kama vile Marekani wale red Indians wenye asili ya nchi yao hawapewi nafasi ya kufanya maamuzi yoyote kwenye serikali, jeshi wala mahakama. Kila kitengo cha maana kuanzia serikalini, jeshini, bungeni, mahakamani nk ni wazungu watupu ndio wamejazana, angalau kidogo black amerika wanapewa nafasi moja moja tena kwa kupambana kweli kweli. Lakini red Indians wengi wao wameuwawa na kufifishwa wasionekane. Nikikuuliza ushawahi kumuona raisi wa Marekani au waziri yoyote wa maana anatokea katika jamii ya hao red Indians nina imani hautompata, maana hajawahi kuwepo na hatokuja kuwepo.

Pia angalia nchi kama Canada na Australia nazo zina wenye original. lakini wamefinywa wasionekane kufanya maamuzi kwa ajili ya nchi zao. Nikikwambia nioneshe Aboriginal people wa Australia, au Indigenous wa Canada hautowaona maana wengi wameuwawa na wengine wamenyimwa nafasi za kufanya maamuzi serikalini.

Hivyo hivyo kwa Israel. Wale wenye nchi yao wamefifishwa na wengine kuuwawa kwa kudaiwa kuwa ni wapalestina maana watu wenye asili ya mashariki ya kati wanafanana muonekano. Halafu wazungu waliokuja kuvamia nchi kama walivyovamia Canada, Australia na Marekani ndio wanaofanya maamuzi yote ya nchi kwa faida yao na wazungu wenzao wa Marekani, UK nk.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…