Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
bismati ndo mchele wa biriani hauloweki ila huu wa kawaida ukitaka biriani litoke tamu inabidi uloweke kiaina si unajua kuforgeMchele unatakiwa uwoshe vzr alafu usiuloweke,maana ukiloweka sana tegemea kuwa boko boko au ukatoka vzr,alafu mchele wa bismat nikipikag birian huwa si uloweki,ila mapishi ni ufundi wako mwenyew unawez ukaloweka na kitu kikatoka bomba
You disappointed me!![emoji30]......Kitu kikatoka bomba unamaanisha nini?.....Unamaanisha kuwa unaweza kuloweka na virutubisho visipotee??......Wewe unapopika chakula priority yako hasa ni nini??.....Priority yako ni chakula kiwe kitamu au virutubisho visipotee?[emoji15] ......Kwa taarifa yako vyakula vyote vya nafaka ukiloweka hupoteza virutubisho kwa kiwango kikubwa sana!!![emoji24]Mchele unatakiwa uwoshe vzr alafu usiuloweke,maana ukiloweka sana tegemea kuwa boko boko au ukatoka vzr,alafu mchele wa bismat nikipikag birian huwa si uloweki,ila mapishi ni ufundi wako mwenyew unawez ukaloweka na kitu kikatoka bomba
hauwezi kutoka boko labda uweke maji mengiMchele unatakiwa uwoshe vzr alafu usiuloweke,maana ukiloweka sana tegemea kuwa boko boko au ukatoka vzr,alafu mchele wa bismat nikipikag birian huwa si uloweki,ila mapishi ni ufundi wako mwenyew unawez ukaloweka na kitu kikatoka bomba
Watu badala ya kuzungumzia virutubisho mnazungumzia utamu na chakula kupendeza!![emoji15] ......Kwenye hii dunia ipiganie elimu kuliko vitu vingine vyote kwa sababu once you miss education you missed everything!!hauwezi kutoka boko labda uweke maji mengi
hayo maji ya kulowekea hayamwagwi ndo hayo hayo tunapikia kwanza mchele unanyonya maji yote nadhani virutubisho havitoki ila sina uhakikaWatu badala ya kuzungumzia virutubisho mnazungumzia utamu na chakula kupendeza!![emoji15] ......Kwenye hii dunia ipiganie elimu kuliko vitu vingine vyote kwa sababu once you miss education you missed everything!!
muhogo gani tena?Mimi muhogo wangu napenda sana kuuroweka kwenye punje ya mchele[emoji12] [emoji125] [emoji125] [emoji125]