Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
kwa wale tunaojua kupika
kuna hii style ya kupika labda wali nazi au pilau tamu au biriani la mchele wa kawaida
tunavoloweka mchele muda mrefu ni sawa ? haushi virutubisho?
tunapika chakula kivutie mlaji au kujenga mwili na afya bora?