Haya mapishi ni sahihi?

Haya mapishi ni sahihi?

Mchele unatakiwa uwoshe vzr alafu usiuloweke,maana ukiloweka sana tegemea kuwa boko boko au ukatoka vzr,alafu mchele wa bismat nikipikag birian huwa si uloweki,ila mapishi ni ufundi wako mwenyew unawez ukaloweka na kitu kikatoka bomba
 
bismati ndo mchele wa biriani hauloweki ila huu wa kawaida ukitaka biriani litoke tamu inabidi uloweke kiaina si unajua kuforge
 
You, african women you're amazing cooks' . Let me pay attention...
 
Mchele unatakiwa uwoshe vzr alafu usiuloweke,maana ukiloweka sana tegemea kuwa boko boko au ukatoka vzr,alafu mchele wa bismat nikipikag birian huwa si uloweki,ila mapishi ni ufundi wako mwenyew unawez ukaloweka na kitu kikatoka bomba
You disappointed me!![emoji30]......Kitu kikatoka bomba unamaanisha nini?.....Unamaanisha kuwa unaweza kuloweka na virutubisho visipotee??......Wewe unapopika chakula priority yako hasa ni nini??.....Priority yako ni chakula kiwe kitamu au virutubisho visipotee?[emoji15] ......Kwa taarifa yako vyakula vyote vya nafaka ukiloweka hupoteza virutubisho kwa kiwango kikubwa sana!!![emoji24]
 
Wahusika likipatikana Jukwaa la Mapishi itakua safi sana....!!!
 
Mchele unatakiwa uwoshe vzr alafu usiuloweke,maana ukiloweka sana tegemea kuwa boko boko au ukatoka vzr,alafu mchele wa bismat nikipikag birian huwa si uloweki,ila mapishi ni ufundi wako mwenyew unawez ukaloweka na kitu kikatoka bomba
hauwezi kutoka boko labda uweke maji mengi
 
Mimi muhogo wangu napenda sana kuuroweka kwenye punje ya mchele[emoji12] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
hauwezi kutoka boko labda uweke maji mengi
Watu badala ya kuzungumzia virutubisho mnazungumzia utamu na chakula kupendeza!![emoji15] ......Kwenye hii dunia ipiganie elimu kuliko vitu vingine vyote kwa sababu once you miss education you missed everything!!
 
hayo maji ya kulowekea hayamwagwi ndo hayo hayo tunapikia kwanza mchele unanyonya maji yote nadhani virutubisho havitoki ila sina uhakika
 
Ndoman nikasem kila mtu na upishi wake,km mimi nikilowek sana bas nitatoa wali bokoboko ht km nitawek maji kidogo
 
Kwahiyo hiyo taharifa yk s like unanishushua,fanya uje kwangu uwone navyopikaga..ndoman nikasema mapishi yapo tofauti na ktk hayo mapishi virutubisho pia vinakuwemo jaman eeh km hatu jaenda shuleeeee bas ht awali nimesoma
 
Mchele haurowekwi bwana.
Ukiroweka achilia mbali kupunguza virutubisho bali pia unakatika katika. Na hivo hubadilisha ladha husika ya pishi lenyewe.
Me kusema kweli siroweki, kwa wali wa aina yoyote ule.
Labda chila au vitumbua.
 
Back
Top Bottom