Haya Mapokezi yalikuwa si ya kawaida. Haikuwa rahisi mtu yeyote kuchomoa huu mtego.

Haya Mapokezi yalikuwa si ya kawaida. Haikuwa rahisi mtu yeyote kuchomoa huu mtego.

Kuna umuhimu wa kwenda ughaibuni mara kwa mara ili mambo kama haya yawe ya kawaida..

Sio punde tu unakuwa Rais and you have never boarded a flight. Shida lazima. 😂😂
images (3).jpeg
 
Mtego wa Ulimbo ..🤣🤣🤣

Waarabu mmetufundisha adabi.
 
Cognitive Mind paralysis n Emotional Blackmail
Emotional Anchoring n Flashing.
At the end Msukule unasign mkataba.
Mkuu hata wewe usingechomoa.

Viongozi wetu hawana budi kuyazoea haya malife style mapema.

Mlishawahi ambiwa muhamie Burundi..
 
FB_IMG_16873348611627529.jpg

Walipigwa matukio wakaona tumchore Kama jitu katiri Gaidi Lila nyama za watu .
Bado nawasoma viongozi woote waliowekwa label za ubaya na watu weupe. ila ni kwa vitabu vya watu weusi pekee.
 
Back
Top Bottom