Haya Mapokezi yalikuwa si ya kawaida. Haikuwa rahisi mtu yeyote kuchomoa huu mtego.

Haya Mapokezi yalikuwa si ya kawaida. Haikuwa rahisi mtu yeyote kuchomoa huu mtego.

Sijaona cha ajabu kwenye hiyo clip, kipi labda..... wacheza ngoma hata hao ni WANNE STAR.!!
 
Jamaa always wanakuwa mbele kifikra miongo 10 mbele,nasi tunaibiwa kama zuzu na kichupa Cha dhahabu,alijisemeaga hayati Nyerere.
Wewe hata hueleweki unaandika nini "jamaa" zako ndiyo kina nani hao?

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
 
Njaa ilimfanya Esau akauza haki ya uzaliwa wake wa kwanza, njaa ni mbaya sana.
 
Walifanikiwa kuiteka akili ya bi mkubwa..mwanamke ni mwanamke linapokuja suala zima la kutongozwa..yaani umualike demu serena au kempinski for lunch..mkitoka hapo unampakia kwenye usafiri unampeleka mlimani city for shopping..anachomokaje hapo.
 
View attachment 2672783

Hamjiulizi. Wametuzidi akili.

Hakuna mtu angechomoka hapa..
images (9) (1).jpeg
 
Hahahahaaa
Kumbe ndio maana wakasaini nkataba bila kusoma hata sentensi moja.
Ni kama vile mwanakijiji kaenda mjn kufungua bank akaunti anaelekezwa tu...saini hapa, kama zuzu!!!.
 
Back
Top Bottom