Haya maradhi sasa imekuwa too much!

Haya maradhi sasa imekuwa too much!

Kuna mitihani haibebeki. Tiktok kuna msanii anaitwa Hawa, b4 hapo sijawahi kumfahamu.
Nimeanza kumuona hivi wanavyompost post na maradhi yake.
Haelewi haswa chanzo cha ugonjwa, ila unaambiwa amefanyiwa operation 22 za tumbo 🥹😭
Mara mshono ufumukuke. Yan ni heka heka nzito
Hawa aliye imba na diamond nitarejea?
 
Yaani tangu tuanze hakuna kupumua wala kupumzika kila siku ni mlipuko wa maradhi bandika bandua!

Ilianza CORONA mara ikaja VICHWA NA MAFUA mara ikaja MATUMBO NA KUHARISHA mara ikaja MADONDA KWA WATOTO mara KUKOHOA mara tena MACHO MEKUNDU Mara nasikia kuna inakuja hiyo ya MATAKO KUUMA bila sababu mwee! Tutakaaje sasa!?🤣

Mbona kila siku tunapigwa na kitu kizito kichwani tena chenye ncha kali?

Tumuombe sana Mwenyezi Mungu kwakweli atujaalie mwisho mwema maana kufa ni lazima ila haya mateso siyo lazima!
Kama hujui ni uzushi au magonjwa kuzuliwa ili biashara ya sekta ya afya ipate kuuza. Yaani kuna uzushi kimataifa kuzua pandemics. Hizi zinasukwa kwa maarifa makubwa. Magonjwa kama ukimwi, corona etc. Na kuna epidemics hivi za kitaifa mtazuliwa chochote mradi wauze.
 
Kuna mitihani haibebeki. Tiktok kuna msanii anaitwa Hawa, b4 hapo sijawahi kumfahamu.
Nimeanza kumuona hivi wanavyompost post na maradhi yake.
Haelewi haswa chanzo cha ugonjwa, ila unaambiwa amefanyiwa operation 22 za tumbo 🥹😭
Mara mshono ufumukuke. Yan ni heka heka nzito
Ni kweli usemacho, lakini sio kwamba kuugua kwake ndiyo hawezi kupona.

Huenda Mungu amempa huo mtihani wa kuugua hivyo ili walau apate nafasi ya kujirekebisha baadhi ya njia zake (Rehabilitation & Reconciliation).

Japo ukipata Mitihani mikubwa ya hivyo unaweza kujikuta unakufuru kama ilivyotokea Kwa Mkewe Ayubu baada ya kuona Mitihani ya Mume wake.
 
Kama hujui ni uzushi au magonjwa kzuliwa ili biashara ya sekta ya afya ipate kuuza. Yaani kuna uzushi kimataifa kuzua pandemics. Hizi zinasukwa kwa maarifa makubwa. Magonjwa kama ukimwi, corona etc. Na kuna epidemics hivi za kitaifa mtazuliwa chochote mradi wauze.
Hivi,unaelewa maana ya neno "uzushi "?Tumia neno linavyostahili ili ueleweke.
 
Jana nilikua ferry kuna dada akaona mtoto ana vijipu usoni akawa anasema ameviona kwa watu wanne na hao wengine ni watu wazima
 
Back
Top Bottom