min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 23,322
- 64,738
Kwani hana uwezo wa kufanya tujue yupo bila kutukomoa??? Et babu[emoji848][emoji848]Wakati mwingine Mungu anatupitisha kwenye Mitihani ili walau kupata nafasi ya kumkumbuka kwamba alikwepo/yupo/ataendelea kuwepo.
Kama anaweza kuhamisha milima, vipi kuhusu hayo maradhi madogo ya macho/matumbo.