Haya maradhi sasa imekuwa too much!

Haya maradhi sasa imekuwa too much!

Wakati mwingine Mungu anatupitisha kwenye Mitihani ili walau kupata nafasi ya kumkumbuka kwamba alikwepo/yupo/ataendelea kuwepo.

Kama anaweza kuhamisha milima, vipi kuhusu hayo maradhi madogo ya macho/matumbo.
Kwani hana uwezo wa kufanya tujue yupo bila kutukomoa??? Et babu[emoji848][emoji848]
 
No body knows. Hata familia yake haielewi na ni kama hawaamini mambo hayo. Kutwa wapo nae Hospitali

Zamani nilidhani ni cancer...

Lakini ni miaka sasa imekatika, haiwezi kuwa cancer maana kwa muda alioumwa ingekuwa ishamshusha chini
 
Kwani hana uwezo wa kufanya tujue yupo bila kutukomoa??? Et babu[emoji848][emoji848]
Anapenda kutumia mbinu ngumu ngumu hasa.

Imagine wakati ule Wana wa Israel wanatolewa utumwani Misri kwenda Nchi ya ahadi.

Umbali wa kilomita almost 40 jamaa wametumia miaka 40 kutembea.

Yaani hata kama ungekuwa ni wewe lazima ungekasirika kama alivyofanya Mussa.

Yaani unaona Nchi ya ahadi ile lakini hufiki tu 😜
 
Polee sana ila sisi huku kigamboni hatuna maradhi ya ajabu ajabu huku hakuna aliye umwa macho kuwa mekundu ila kipindi cha korona mji mzima tuliwekwa karantini sio powa🤣😁😂
Taarifa nilizo nazo zinaonesha red eye ilisumbua Sana wakazi wa Kigambon
 
Back
Top Bottom