Haya maradhi sasa imekuwa too much!

Hawa aliye imba na diamond nitarejea?
 
Kama hujui ni uzushi au magonjwa kuzuliwa ili biashara ya sekta ya afya ipate kuuza. Yaani kuna uzushi kimataifa kuzua pandemics. Hizi zinasukwa kwa maarifa makubwa. Magonjwa kama ukimwi, corona etc. Na kuna epidemics hivi za kitaifa mtazuliwa chochote mradi wauze.
 
Ni kweli usemacho, lakini sio kwamba kuugua kwake ndiyo hawezi kupona.

Huenda Mungu amempa huo mtihani wa kuugua hivyo ili walau apate nafasi ya kujirekebisha baadhi ya njia zake (Rehabilitation & Reconciliation).

Japo ukipata Mitihani mikubwa ya hivyo unaweza kujikuta unakufuru kama ilivyotokea Kwa Mkewe Ayubu baada ya kuona Mitihani ya Mume wake.
 
Hivi,unaelewa maana ya neno "uzushi "?Tumia neno linavyostahili ili ueleweke.
 
Jana nilikua ferry kuna dada akaona mtoto ana vijipu usoni akawa anasema ameviona kwa watu wanne na hao wengine ni watu wazima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…