Haya maridhiano kuna mmoja atakuja kushtuka imeshakuwa asubuhi!

Trable

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2023
Posts
1,781
Reaction score
3,288
Vyenga vya leo vinatosha kabisa kuona kuna mmoja katika maridhiano haya yanampa faida kuubwa sana hasa huko tuendako, na kuna yule ambaye anafurahia vinono vya muda mfupi!

Maridhiano kwa nchi kama hii yetu yenye watu waliozoea Amani kama maji ya mtungini ni mhimu sana kwa mstakabali wa nchi na Amani kwa ujumla.

Amani yetu ni utamaduni wetu na utamaduni wetu ni Amani yetu! Hongereni viongozi wote mlioshiriki jambo hili la faida kubwa kwenye nchi yetu!

Lakini Je, Sote tunayo macho ya kuona zaidi ya kuona?

Kuna mmoja anaona maridhiano pekee na kuna anayeona zaidi ya maridhiano!

Kwa vyenga vya leo! Mmh!

Tukutane 2025
 
Hahahahahah umechelewa sana kuliona hilo. Katika kipindi ambacho nchi inaenda kwa autopilot pekee ni kipindi hichi.
Mlitegemea mama kutoa maamuzi kuhusu wale wabunge na katiba mpya....unataka kunambia kwamba hamjaona chenga ya macho aliyowapiga huyo mama?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…