Haya maridhiano kuna mmoja atakuja kushtuka imeshakuwa asubuhi!

Haya maridhiano kuna mmoja atakuja kushtuka imeshakuwa asubuhi!

mbona kayajibu yote.
Swala la katiba mpya amesema yeye na chama chake wameridhia na soon hiyo tume ya kuendeleza mchakato wa katiba mpya soon ataitangaza.

Swala la cd19 amesema waachie mkondo wake, wewe ulitaka atangaze azarani kuwa atalishuhulikia? Hapo si itaonekana ameingilia mahakama moja kwa moja?

kama Mbowe kamtangazia kuwa wao kama Chadema hawakupeleka majina basi ujue kifuatacho ni wabunge wengine 19 watateuliwa na chama na hao uviko 19 watapigwa chini
Watapigwa chini 2025 sio leo.
 
Vyenga vya leo vinatosha kabisa kuona kuna mmoja katika maridhiano haya yanampa faida kuubwa sana hasa huko tuendako, na kuna yule ambaye anafurahia vinono vya muda mfupi!

Maridhiano kwa nchi kama hii yetu yenye watu waliozoea Amani kama maji ya mtungini ni mhimu sana kwa mstakabali wa nchi na Amani kwa ujumla.

Amani yetu ni utamaduni wetu na utamaduni wetu ni Amani yetu! Hongereni viongozi wote mlioshiriki jambo hili la faida kubwa kwenye nchi yetu!

Lakini Je, Sote tunayo macho ya kuona zaidi ya kuona?

Kuna mmoja anaona maridhiano pekee na kuna anayeona zaidi ya maridhiano!

Kwa vyenga vya leo! Mmh!

Tukutane 2025
Off course rough lazima itakuwepo. Ila itaondoa hii kero ya kutawaliwa na weusi wenzetu na viongozi wengi watapatikana kwa kuchaguliwa na wananchi. Siyo kama 2020 JPM na Mahela wanakaa na kuteua watu wao aingie Bungeni. Kwa ujumla naona nafuu zaidi.
 
Off course rough lazima itakuwepo. Ila itaondoa hii kero ya kutawaliwa na weusi wenzetu na viongozi wengi watapatikana kwa kuchaguliwa na wananchi. Siyo kama 2020 JPM na Mahela wanakaa na kutua watu wao aingie Bungeni. Kwa ujumla naona nafuu zaidi.
Sawa mkuu
 
KAULI MAARUFU

MAMA ATAWAACHIA MAJIMBO KADHAA



Swali la Msingi.. Anaegawa majimbo ni Rais au?
 
Back
Top Bottom