Haya maridhiano kuna mmoja atakuja kushtuka imeshakuwa asubuhi!

Ikifika wakati wa uchaguzi, CCM huwa hatuna simile. Ni wakali kama panga zenye makali kuwili, Kuna watu wanafanya rehearsal ya nyimbo za uchaguzi, na wanafanya analysis mbalimbali za kijamii na kiuchumi
 
Nakuelewa mkuu
 
Tz shwaaaarrrrrr Wala msiturudishe tulipotoka nyie wanywa damu.
 
Ikifika wakati wa uchaguzi, CCM huwa hatuna simile. Ni wakali kama panga zenye makali kuwili, Kuna watu wanafanya rehearsal ya nyimbo za uchaguzi, na wanafanya analysis mbalimbali za kijamii na kiuchumi
Hahahahahahaa!!!! Hivi Simile imetokana na smile?
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] mama anaupiga
Mchache na mwingi kwa wanaoamini maridhiano ni kumleta yule kijana anayetukana biashara za vijana bila kutoa options nyingine na wasijue siri ya mtungi
 
Alafu anawauliza kwani hapa mlipo kuna mtu anataka dora?,kwakweli wamejitia Aibu bora wangemwalika ata MANDONGA MTU KAZI.
Maskini umeumia sana roho kuona Rais kushirikiana na upinzani, inaonekana unapenda zaidi kuona watu wana pasuana tu.
 
Mkuu mm sihamishishi ugomvi ila hili swala kwakweli ni kwamba kawatia Aibuu,Na chadema walivyo mafala inawezekana wamemjibu kimuhemko bila kujua wamejibu nini.???
[emoji23][emoji23] Political Science
 
Mlitegemea mama kutoa maamuzi kuhusu wale wabunge na katiba mpya....unataka kunambia kwamba hamjaona chenga ya macho aliyowapiga huyo mama?
mbona kayajibu yote.
Swala la katiba mpya amesema yeye na chama chake wameridhia na soon hiyo tume ya kuendeleza mchakato wa katiba mpya soon ataitangaza.

Swala la cd19 amesema waachie mkondo wake, wewe ulitaka atangaze azarani kuwa atalishuhulikia? Hapo si itaonekana ameingilia mahakama moja kwa moja?

kama Mbowe kamtangazia kuwa wao kama Chadema hawakupeleka majina basi ujue kifuatacho ni wabunge wengine 19 watateuliwa na chama na hao uviko 19 watapigwa chini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…