Kumbe Asali imetawaliwa na uchoyo, ubinafsi?vipi Mchungaji msigwa Sugu heche Lema hawajaonjeshwa hata kiduchu?Amepata mafao yake, lakini fungu la asali (maridhiano) bado hajapata. Hilo amelamba mbowe peke yake, na kidogo akamgawia JJ.
Kwani maridhiano yalihusu kutokukosoana? Au ukubwa wa CCM? Hebu jifunze kufikiriNiwape tu angalizo viongozi wa Chadema wasisahau kuwa CCM ni Chama kikubwa sana.
13%
Jifunze kwa Mbowe, uungwana ni vitendo!Kwani maridhiano yalihusu kutokukosoana? Au ukubwa wa CCM? Hebu jifunze kufikiri
Maridhiano = makubaliano !!Hajakosea hata kidogo,Mwamba nae asikae kimya wakati majizi yanaliangamiza Taifa.
Kwa wewe unavyoona unadhani Lissu ana imani na hayo maridhiano? Lissu anasema hadi sasa hakuna chochote kikubwa alichofanya Samia, hajabadili sheria moja mambo yaleyale tu.Kwani maridhiano yalihusu kutokukosoana? Au ukubwa wa CCM? Hebu jifunze kufikiri
Kutupisha ndio kuukataa wizi?Wizi wa sasa hata mama keshaukataa ndiyo maana kasema wote waliotuhumiwa na CAG wapishe uchunguzi
Lisu ni opponent by nature yy ni mpinzani wa kabisa ndivyo alivyo.Tundu Lisu naye kashuka tu kwenye Ndege na Kuanza kuishambulia CCM kwamba ina Watu walewale wanaofanya mambo yaleyale na kwamba CCM imefeli.
Sure! It smells a rat.Yaani ni Ccm na Mbowe tu ndio wamekuwa watulivu. Mwisho wa kunukuu. It smells fishy isn’t?
Hivi ni kweli umefilisika kiasi hiki au unaigiza?Sasa si amwambie Mwenyekiti Mbowe akakosowe kwenye Maridhiano!
Ni nani hawa 😂Wapigie simu 0652627771 Athumani na Selemani 0715132277 ndiyo wenye kujua mambo yote yanayoendelea Nchini kwani wapo karibu na chadema na pia wapo karibu sana na CCM, watakufafanulia vizuri kwa uwazi
Mbowe na Lisu ndio wanaigiza kwenye Mabango!Hivi ni kweli umefilisika kiasi hiki au unaigiza?
Isn't 😂Yaani ni Ccm na Mbowe tu ndio wamekuwa watulivu. Mwisho wa kunukuu. It smells fishy isn’t?
Nawe wasalimie Manzese.Mbowe na Lisu ndio wanaigiza kwenye Mabango!
Wasalimie Katavi
Jo huna akiliSasa si amwambie Mwenyekiti Mbowe akakosowe kwenye Maridhiano!