Haya Maridhiano ni ya CCM kujipendekeza kwa CHADEMA? Mbona Lissu anaisimanga sana CCM kwamba mambo ni yale yale?

Haya Maridhiano ni ya CCM kujipendekeza kwa CHADEMA? Mbona Lissu anaisimanga sana CCM kwamba mambo ni yale yale?

Amepata mafao yake, lakini fungu la asali (maridhiano) bado hajapata. Hilo amelamba mbowe peke yake, na kidogo akamgawia JJ.
Kumbe Asali imetawaliwa na uchoyo, ubinafsi?vipi Mchungaji msigwa Sugu heche Lema hawajaonjeshwa hata kiduchu?
 
Hapa America tumesikia wametoa msaada kwa chadema kwani pesa hazifiki kwa Lisu?yeye si ni makamu mwenyekiti? au kwenye pesa hana kauli?
 
Muulize Jiwe akusimulie .

View attachment 2577895

Enyi waishiwa wabunge wa Chadema ukiwemo na wewe Erythrocyte

Kijiwe na msongo wa mawazo utawazeesha kabla ya muda wenu!
Erythrocyte
Unateseka kuliko Magufuli aliekwishajifia na kulala kaburini milele!
Huku akiwaacha mlio hai kuteseka maisha yenu yote mkipigana na kivuli chake Jembe Magufuli!

Hizi nguvu mnazopoteza,vema mngezitumia kutafuta maarifa mengine ili muweze kumudu maisha uraiani.

HISTORIA ikishajiandika huwa haifutiki.mko nje ya bunge hadi 2025.
Pambaneni na hali zenu,kama watanzania wengine wanavyopambana na kumudu kuishi kwa Amani na familia zao bila msongo wa mawazo kama nyinyi.
 
Kwani maridhiano yalihusu kutokukosoana? Au ukubwa wa CCM? Hebu jifunze kufikiri
Kwa wewe unavyoona unadhani Lissu ana imani na hayo maridhiano? Lissu anasema hadi sasa hakuna chochote kikubwa alichofanya Samia, hajabadili sheria moja mambo yaleyale tu.
 
Wapigie simu 0652627771 Athumani na Selemani 0715132277 ndiyo wenye kujua mambo yote yanayoendelea Nchini kwani wapo karibu na chadema na pia wapo karibu sana na CCM, watakufafanulia vizuri kwa uwazi
Ni nani hawa 😂
 
Tafsir ya kusimanga tafadhali, pia ukwel hujitenga na uongo. Ukwel utabaki kua ukwel ingawa kwa watanzania ukisema ukwel utatungiwa majina ya kila aina...mara mbea, mara kiherehere, mara msimangaji!!
 
Back
Top Bottom