minyoo
JF-Expert Member
- May 25, 2013
- 22,405
- 21,100
Kumbe Asali imetawaliwa na uchoyo, ubinafsi?vipi Mchungaji msigwa Sugu heche Lema hawajaonjeshwa hata kiduchu?Amepata mafao yake, lakini fungu la asali (maridhiano) bado hajapata. Hilo amelamba mbowe peke yake, na kidogo akamgawia JJ.