Haya mashabiki wa Simba mje mtoe maoni kuhusu kikosi hiki

Smart AJ

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2022
Posts
5,564
Reaction score
5,884
Unakionaje kikosi, forget about formation.
LINEUP111720140696979.jpg
 
Isipopita sheria ndogo ya kulinda wazawa msimu ujao tutaona wageni pekee wakicheza hizi team kubwa
Yanga ni Bacca na Job ndio watakuwa regular
Simba ni Zimbwe na Kibu labda namna nyingine itokee.
NB.kila mechi wazawa 4 wacheze si chini ya dk 45
 
Kuna timu ngapi kwenye ligi kuu?? Wazawa watacheza huko...
Hizi n club sio timu ya Taifa.. club n biashara
 
Isipopita sheria ndogo ya kulinda wazawa msimu ujao tutaona wageni pekee wakicheza hizi team kubwa
Yanga ni Bacca na Job ndio watakuwa regular
Simba ni Zimbwe na Kibu labda namna nyingine itokee.
NB.kila mechi wazawa 4 wacheze si chini ya dk 45
Wazawa nao wapige kazi wasisubiri kulindwa. Mzawa kama Kenned Juma akageuka kama bajaji nani atampanga
 
Kwahiyo Yao ahoua charles na jean ahoua ni watu wawili tofauti na wote wamesajiliwa simba?

Ndio, ni wawili tofauti. Mmoja anatoka ligi ya Ivory Coast, mwingine ya Russia. Wote ni raia wa Pwani ya Pembe

1720159620906.png
 
Heee, nilijua ni mtu mmoja
Ni kama enzi zile Simba tulivyotaka kukata rufaa dhidi ya Stella Abidjan, maana kulikuwa na wachezaji wawili wanafanana majina, tukadhani Stella walichezesha mamluki. Walikuwa ni Boli Zozo Jean na Boli Zozo Laurent
 
Back
Top Bottom