BASIASI
JF-Expert Member
- Sep 20, 2010
- 9,732
- 5,006
Kuna vijiji ukipita huko tarime unaweza hisi awako tanzania wako na nchi yao
Hivi vijiji kuna mashamba mengi na kwa pembeni mtaona miwaa imezunguka
Ukibahatika kuingia ndani unaweza dondoka gafla n bangi za kufa mtu
Siohilo wananchi wamefikia hata kuvuna bila uwoga na kupeleka mzigo mpaka barabaran
Hapo. Kuna wanaume wanakuja na kubeba unaenda wapi sijui!!?
Naamini kwa dodoso hili kama walikuwa awajui basi uongozi wa tarime waashirikiane na wa vijijini kuteketeza haya mashamba yanaangamiza vijana wasio na hatia kabisa ......
Tusisubiri kukamata kwenye magari yao huku ikijulikana zinatokea wapi