Haya mashindano aliyoshinda Diamond jana sijawahi kuyasikia!


Ahaaa kumbe kashindana na kushindaaaa! Mi nkadhan ametoka nao hom, bas kumbe n seriously
 
Hahaha Sir God anakuona ujue.
 
Kwa mkanda huo lazima atakuwa amecheza muziki kimieleka- mieleka.
 

Nenda club ndo utajua nyimbo ya aje inafanya nn?
 
kwa africa host ni d'banj na palesa motaung yule dada aliyekuwa actress wa isidingo.
 
We hujui,ukielezwa unabisha.sema unayoyajua wewe na uweke link tuone.
Weka link tuoanishe na ulichoandika
 
hii nazani itampa kick pia kwenye tuzo za BET anazowania mwaka huu,na pia kama fununu zinavosema kwamba this year atapanda jukwaa la BET kuperform bs nazani waandaji watasema bila shaka hatujakosea kumchagua huyu mtu kuwa moja kati ya perfomers wa iyo siku.
 
Mkataba na Sony vs mkataba wa Tomato
yaan ndugu inaonyesha wazi huijui industry ya muzic sony ni recording label kama tu wcb,pkp,mkubwa na wanawe,young money na nyingine lakin tomato ni bidhaa ambayo diamond ndio balozi wake kwahyo vitu viwil tofauti! swali kwako umesoma hadi darasa la ngap?
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Announcement #1 Announcement #2 major world wide announcement #3 announcememt #4 Zote chali daaah
 
We hujui,ukielezwa unabisha.sema unayoyajua wewe na uweke link tuone.


Mi sibishi kitu hapa, Bali nimeelezea jinsi ninavyoifahamu Lipsinc Battle. Link nimeweka angalia post namba 12 na 13 uone original version ya wenye Lipsinc Battle Yao. Naona wabongo mnataka kuuana kwa vitu msivyovijua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…