Haya "masmartphone" makubwa mnawezaje kuyaweka masikioni?

Haya "masmartphone" makubwa mnawezaje kuyaweka masikioni?

Kuna supu mpaka za sh. 200, miksa makwarukwaru, kila mtu na bakuli lake kwenye kona yake, haina kuangaliana usoni hiyo.
[emoji23][emoji39][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wikiendi nafungaga mtaa Basi Mbili nzima, nanunua zangu viazi vitamu vya kukaanga arobaini, au hata hamsini, nikila asubuhi sili mpaka kesho yake.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
kuna kitu nilikishangaa Dodoma,kuna mama ntilie wapo nyuma ya msikiti wa Gadafi kule,saiv pana foleni utafikiri wanasubiri usafiri wa mwendokasi,kisa panauzwa chai chapati na maharage ya kuchemshwa,nilishangaa sana kuona yale mafuriko ya watu,hadi leo naamini pale wanatumia dawa,binafsi siwezi kwenda kukaa foleni nasubiri chapati maharage,niliamua kumkacha mwenyeji wangu aisee!
Usisahau barabara ya 9Kuna bagia za tsh 50
 
Dodoma nina dada wengi,usishangae siku mara paap kumbe Demiss ni dada yangu,tacheka sana,maana JF kukushangaza mtu ni dk 0 tu...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Siye hatujui hiyo, iwe ya kunguru, iwe ya dog, kimpango wao, ili mradi iwe ya bei rahisi twende kazi.
Ni sawa na demu anakupikia chakula halafu anajushtukia hakijaiva, kiive, kisiive mi' sijui, mi' nakula tu. Tena kisipoiva ndiyo fresh, ataacha kula halafu mimi namalizia chote!
Dooh, umetisha mkuu
 
Kuna supu mpaka za sh. 200, miksa makwarukwaru, kila mtu na bakuli lake kwenye kona yake, haina kuangaliana usoni hiyo.
Makwarukwaru +malapulapu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Siye hatujui hiyo, iwe ya kunguru, iwe ya dog, kimpango wao, ili mradi iwe ya bei rahisi twende kazi.
Ni sawa na demu anakupikia chakula halafu anajushtukia hakijaiva, kiive, kisiive mi' sijui, mi' nakula tu. Tena kisipoiva ndiyo fresh, ataacha kula halafu mimi namalizia chote!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] litajua tumbo linalo pokea duu jamani
 
Hatari chips buku unakula unaacha
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] maisha rahisi tu halafu watu wanalia vyuma vimekaza [emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] maisha rahisi tu halafu watu wanalia vyuma vimekaza [emoji23][emoji23][emoji23]
Shangaaaa mboga za majani mfano chainiz zimefungwa 6 kila fungu unapewa mafungu ma3 Mia mbili hapo sawa na chainizi 18 kwa moja moja huku kwetu 500 unakula kwa siku unga upo ndani
 
Back
Top Bottom