Muzine
JF-Expert Member
- May 4, 2017
- 32,366
- 60,453
[emoji23][emoji39][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna supu mpaka za sh. 200, miksa makwarukwaru, kila mtu na bakuli lake kwenye kona yake, haina kuangaliana usoni hiyo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji39][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna supu mpaka za sh. 200, miksa makwarukwaru, kila mtu na bakuli lake kwenye kona yake, haina kuangaliana usoni hiyo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wikiendi nafungaga mtaa Basi Mbili nzima, nanunua zangu viazi vitamu vya kukaanga arobaini, au hata hamsini, nikila asubuhi sili mpaka kesho yake.
Usisahau barabara ya 9Kuna bagia za tsh 50kuna kitu nilikishangaa Dodoma,kuna mama ntilie wapo nyuma ya msikiti wa Gadafi kule,saiv pana foleni utafikiri wanasubiri usafiri wa mwendokasi,kisa panauzwa chai chapati na maharage ya kuchemshwa,nilishangaa sana kuona yale mafuriko ya watu,hadi leo naamini pale wanatumia dawa,binafsi siwezi kwenda kukaa foleni nasubiri chapati maharage,niliamua kumkacha mwenyeji wangu aisee!
Dodoma nina dada wengi,usishangae siku mara paap kumbe Demiss ni dada yangu,tacheka sana,maana JF kukushangaza mtu ni dk 0 tu...Usisahau barabara ya 9Kuna bagia za tsh 50
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Dodoma nina dada wengi,usishangae siku mara paap kumbe Demiss ni dada yangu,tacheka sana,maana JF kukushangaza mtu ni dk 0 tu...
we! sema taratibu hao majirani zake waziri mkuu siku hiziSiyo chadulu Maili mbili sokoni hahahaha
Dooh, umetisha mkuuSiye hatujui hiyo, iwe ya kunguru, iwe ya dog, kimpango wao, ili mradi iwe ya bei rahisi twende kazi.
Ni sawa na demu anakupikia chakula halafu anajushtukia hakijaiva, kiive, kisiive mi' sijui, mi' nakula tu. Tena kisipoiva ndiyo fresh, ataacha kula halafu mimi namalizia chote!
Makwarukwaru +malapulapu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kuna supu mpaka za sh. 200, miksa makwarukwaru, kila mtu na bakuli lake kwenye kona yake, haina kuangaliana usoni hiyo.
[emoji23] [emoji23] .Itakuwa hata ya nyau hiyoSupu gani 200 mkuu? Angalia isijekuwa supu ya kunguru ,au ile ya Iringa(dog)[emoji3] [emoji3]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] litajua tumbo linalo pokea duu jamaniSiye hatujui hiyo, iwe ya kunguru, iwe ya dog, kimpango wao, ili mradi iwe ya bei rahisi twende kazi.
Ni sawa na demu anakupikia chakula halafu anajushtukia hakijaiva, kiive, kisiive mi' sijui, mi' nakula tu. Tena kisipoiva ndiyo fresh, ataacha kula halafu mimi namalizia chote!
Hahaaa ya nyau itakua inatishaa hyo ,na nisivyompenda nyau [emoji16][emoji23] [emoji23] .Itakuwa hata ya nyau hiyo
Halafu afya tele kwa supu ya mapupuMapupu kwetu maili mbili mpaka supu ya mia ipo
Hatari chips buku unakula unaachaHalafu afya tele kwa supu ya mapupu
Huwezi kuijua [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahaaa ya nyau itakua inatishaa hyo ,na nisivyompenda nyau [emoji16]
Mapupu makoromelo na kichwaa nyama 100[emoji23] [emoji23] .Itakuwa hata ya nyau hiyo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]karibu dodomaMakwarukwaru +malapulapu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahaahhahahaah maisha simplewe! sema taratibu hao majirani zake waziri mkuu siku hizi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] maisha rahisi tu halafu watu wanalia vyuma vimekaza [emoji23][emoji23][emoji23]Hatari chips buku unakula unaacha
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nasikia supu hizo zipo buguruniMapupu makoromelo na kichwaa nyama 100
Shangaaaa mboga za majani mfano chainiz zimefungwa 6 kila fungu unapewa mafungu ma3 Mia mbili hapo sawa na chainizi 18 kwa moja moja huku kwetu 500 unakula kwa siku unga upo ndani[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] maisha rahisi tu halafu watu wanalia vyuma vimekaza [emoji23][emoji23][emoji23]