Haya Maswali hayatakuwa duplicate of Numbers Kwenye hii Sensa

Haya Maswali hayatakuwa duplicate of Numbers Kwenye hii Sensa

Akili Unazo!

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2009
Posts
3,930
Reaction score
4,912
D. MASWALI YA 64 HADI 68 NI KWA WANAWAKE WENYE MIAKA 10 AU ZAIDI
64. Je, ulishawahi kuzaa watoto hai katika maisha yako/yake? --------------------
65. Je, umezaa watoto hai wangapi wa kiume na wangapi wa kike wanaoishi na wewe/yeye katika kaya hii?---- Hili halina shida.
66. Je, umezaa watoto hai wangapi wa kiume na wangapi wa kike wanaoishi mahali pengine? ------Hili naona kama litaleta double counting kwa kuwa huko pia wanakoishi watoto hao watahesabiwa kwenye swali namba 65.
67. Je, umezaa watoto hai wangapi wa kiume na wangapi wa kike ambao kwa bahati mbaya wamefariki? ........... Hili halina shida.
68. Je, umezaa watoto hai wangapi wa kiume na wangapi wa kike katika kipindi cha miezi 12 iliyopita? (TAREHE 22 AGOSTI, 2022 KURUDI NYUMA HADI 23 AGOSTI, 2021)--------- Hapa sasa huko kwa michepuko hawatakuwa double counted.

Wadau nini maoini yenu
 
Uongo itatawala maana maswali mengin had mkeo au mumeo anakwangalia utajibuje
 
Back
Top Bottom