LGE2024 Haya Matokeo ya Uchaguzi Mnayaelewa?

LGE2024 Haya Matokeo ya Uchaguzi Mnayaelewa?

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

GenuineMan

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2017
Posts
6,260
Reaction score
14,470
Habari wakuu.

Katika kupitapita mtandaoni nikakutana na haya matokeo ya uchaguzi kwenye moja ya mitaa l, Wilaya ya Ubungo.

Nimeangalia naona kama namba sizielewi.
Labda nyie mnisaidie
Hiyo

Screenshot_20241128_104726_WhatsApp.jpg
 
Habari wakuu.

Katika kupitapita mtandaoni nikakutana na haya matokeo ya uchaguzi kwenye moja ya mitaa l, Wilaya ya Ubungo.

Nimeangalia naona kama namba sizielewi.
Labda nyie mnisaidie
Hiyo

View attachment 3164678
Ujinga plus akili ndogo = Uchafuzi
Jumla ya kura walizopata wagombea hapo ni (1632) ni kubwa kuliko idadi ya waliopiga kura (1298). Kura za maruhani: 334.
Kituko kingine:
Kura zilizoharibika (26) = Idadi ya wapiga kura (1298) - Kura halali (1272)
Sijui hiyo 44 imetokea wapi!
Kifupi kina Nikusekela C. Mwaisob walipewa maelekezo ya uchafuzi nchi nzima!
 
Habari wakuu.

Katika kupitapita mtandaoni nikakutana na haya matokeo ya uchaguzi kwenye moja ya mitaa l, Wilaya ya Ubungo.

Nimeangalia naona kama namba sizielewi.
Labda nyie mnisaidie
Hiyo

View attachment 3164678
Hesabu ya kutoa na kujumlisha inamshinda. Anashindwa kupika data zikapikika. Lakini serikali imempa dhamana ya kulea watoto wetu kwa miaka tele.
Kuna watumishi wako illogical sana. Hawa wote wa kustaafishwa kabla ya muda. Bila aibu na jina linaandikwa. Amedhalilisha taaluma yake ya kila siku.
 
Back
Top Bottom