Haya matukio yalinifanya niamini uchawi upo

Ludi soma tena siyo unakulupuka tu
 
Hawawezi kuamin Hawa
 
Taja Jina la kijiji,,, Stori za Fulani,,mara mahala Fulani hazina afya kwenye bongo nyingi za wasomaji Mada wa sasa...Nenda kwenye pointi dairekti maliza Mada acha kuwa kama bashe
 
Kwa umri wangu nilionao sijawahi wala watu wangu wa karibu kushuhudia/kufanyiwa uchawi vipi niamini???


Kama ni makaburini mkuu watu tulishawahi kukeshe tena bila hata taa Chaa ajabu sana labda mbwa kuja kupandiana ila sio unaowaita "mizimu/wachawi"
Ulikesha makaburini mlikua mnafanya nini ? Ndio ninyi wezi wa kufukua majeneza!!
 
Ulikesha makaburini mlikua mnafanya nini ? Ndio ninyi wezi wa kufukua majeneza!!
Ungeuliza usingepungukiwa kitu!

Anyways ulikuwa msiba wa mtu wangu wa karibu ambao ulinisumbua sana kukubali umetokea😢😢😢
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…