wakunyonya
JF-Expert Member
- Feb 5, 2024
- 520
- 1,414
- Thread starter
- #81
Ludi soma tena siyo unakulupuka tuMimesoma tu tukio la kwanza na kugungua ama wewe ni mtoto under 18 au mjinga fulani? Wewe tangu lini uongo wako ukazidi uongo wa polisi? Yaani uwasingizie polisi uongo? Pili! Uo mchakato wa mashitaka ya polisi ambayo ndo serikali yenyewe ndo ulipwe fasta hivyo? Acho uongo kijana!